mwangangafyelile
Senior Member
- Apr 10, 2017
- 166
- 204
Anaishi kariakooNdo kama ulivyomuona mkuu, kijana wetu huyo!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaishi kariakooNdo kama ulivyomuona mkuu, kijana wetu huyo!!!
Wanatamani hata kimvuli wakipake poudaaa.Hahaa! Kwa sifa tu hamjambo
Huyo sio bongo move mkuu huyo ni kijana wa kamanda siro anafanya yake saloon!!!Bongo muvie
Bakini nazo tu wenyewe wana dsm mana ndio mmezowea hizo sifa.Waambien kaka zenu nao watafute sifa
Hahaa! Ndio hivyo tu hawana jinsi.Wanatamani hata kimvuli wakipake poudaaa.
Bas mkae kimya sio kutwa Dsm DsmBakini nazo tu wenyewe wana dsm mana ndio mmezowea hizo sifa.
Kama vinaonekana vioja vyenu wacheni tu visemwe ili mbadilike.Bas mkae kimya sio kutwa Dsm Dsm
Sifa mbichi bakini nazo wenyewe.mlivyokuwa nusu mnasifia mpaka supu ya pweza.huku n mwendo wa nguvu za asili kwa sababu ya chakula cha asili.Waambien kaka zenu nao watafute sifa
Sawa hakuna shida nyie Dar mnafata nn sasa?Sifa mbichi bakini nazo wenyewe.mlivyokuwa nusu mnasifia mpaka supu ya pweza.huku n mwendo wa nguvu za asili kwa sababu ya chakula cha asili.
Ha ha ha ha kwan nyie inawauma nn tukiwa hvi kuna hisa mmewekeza?Kama vinaonekana vioja vyenu wacheni tu visemwe ili mbadilike.
Habari
Nilitembeaga dar siku za karibuni ila
hizi tabia za baadhi ya wanaume wa dar na (wenye tabia zinazofanana nazo)
1. Wanaume hawa wanajua perfumes, lotions, deudorant, lip bumbs(whatever) and others. Mimi hili liliniudhi sana tena unaongea bila aibu.
2. Wanaume hawa wanapenda weaving, kulaza nywele, cream, na kunukia vizuri kila wakati.
3. Wanaume hawa wanapenda shopping sana. Wakitoka kazini, wanapita supermarket, shoprite n.k kwenda sokoni hawawezi. Mi nilishangaa mmoja kuchinja kuku alikimbia. lakini wanapenda kuku sijawahi ona Tanzania
4. Wanaume hawa wambeya sana... mfano Linah kuonyesha kibendi chake ikawa talk of the town realy. Sasa mambo ya kike na nyie yanawahusu nawauliza
5. Wanapenda vyakula laini kama wazazi. mi nilishangaa unapanda gari na mtu anakula chocolate na tukijiko tudogo kama kijiti.
6. Wavivu sana... wanapenda kazi za ofisini kulima hawawezi maana mikono milaini... mikono ya kupaka poda tsk
EMBU KUWENI WANAUME NYINYI MNATUAIBISHA SANA
Mvua inanyesha tushindwe kutoa taarifa ya mvua na huku tunaiona.Bas mkae kimya sio kutwa Dsm Dsm
Mkuu wanawivu tu hamna loloteHa ha ha ha kwan nyie inawauma nn tukiwa hvi kuna hisa mmewekeza?
Kwan mna hisa na huu mkoa mpaka muwe mnakereka?Mvua inanyesha tushindwe kutoa taarifa ya mvua na huku tunaiona.
Huwa napita tu kwenda mtwaraSawa hakuna shida nyie Dar mnafata nn sasa?
What happens in DC, stays on you tube!Bas aliyoyakuta huku ayaache huku huku
WHATEVER HAPPENS IN VEGAS STAYS IN VEGAS
Marinda city baki nayo mwenyewe.Hivi ulikaa muda wote huo kuenda unafatilia maisha ya watu tu?
1; unataka tunuke vikwapa kama wewe au dume zima ukipita karibu na watu wanaziba pua, mwenyewe ndo unajiona mwanaume hapo!!!
2; kwahiyo unataka tukae na minywele kama machizi kama mfanyavyo nyinyi si ndio.
Hivi kwanini nyinyi suala la usafi limewapitia kushoto kiasi hicho? Yani hata usafi wa nywele zako tu ni tatizo? Sasa hizi tunazoziona tu zina hali kama hiyo je hizo tusizoziona zitakuwa na hali gani.?
Asee hawa Dada zetu wanatabu sana asee.
3; kwahiyo unataka tuvae madabwada kama nyie au.
Yani kwako wewe kuwa smart ni kama vile anunswerd criss.!!
Heti kuchinja kuku, kwahiyo hawa kukuwote tunaokula huku mmechinja nyinyi au.?
4; kitendo cha wewe kuliongekea hilo basi wewe ndo mbeya wa kwanza, haitoshi hata huu Uzi wako unathibitisha kiasi gani ulivo.
5; Nadhani we hata elimu ya vyakula tu huna wewe, we unadhani kula ugali kilo nzima ndo uanaume au ndo afya.
Asee pole sana.
6; we nahisi dar hupajui wewe, huku hakuna mashamba. Mashamba tumenunua huko kwenu mikoani na nyinyi ndo vidampa wetu mnaotufanyia kazi huko sisi kazi yetu kuwapa hela.
Hatuwezi kuwa wakulima wote.
Kama sisi wavivu mbona huku kwetu ndo kunamaendeleo zaidi.?
Mimi naona we huna ajira wewe sasa kuna shamba langu la miembe ya kisasa hapo yombo bagamoyo nitafute nikupe ajira ukanitunzie lile shamba uache kupiga kelele zisizo na maana hapa.
Ukiona vipi hamieni dar, acheni Wivu.
Bas kama mnapita mnayoyakuta hapa muyaache hapa hapaHuwa napita tu kwenda mtwara