Tuwaseme mpaka wabadilike: Wanaume wa Dar

Umesahau nyngne wanapenda kulelewa hao kazi hawataki sasa mtu bora ulelewe atulie nae kutwa mademu ilihali analelewa[emoji23]
 
Aliyekwambiya kisa mwanaume... Ndy unuke kma BEBERU nani?au kisa mwanaume upake MAFUTA YA CHEREHANI..Badala ya lotion nani?kisa mwanaume basi huogi..nani?kisa mwanaume hubadilishi chupi hadi UINUSE kama inanuka ndy uibadilishe nani? Kisa mwanaume UPIGE mswaki na MKAA badala ya Dawa ya meno? huo ni uzamani ..uliokuwa nao..
 
Wakinywa konyagi wanapata vidonda vya tumbo, wao ni heinekein na mountain dew kwa sana
 
Mleta mada mpk leo unalima kwa jembe!?cku hizi watu wanalima kwa vibarua na trekta,mtu anakwambia mkulima lln mikono laini,ndo karne ya 21 hii.
 
Mwanaume kuchunguza maisha ya mwanaume mwenzako napata ukakasi kukuelewa!?
 
Bas kaa kimya mkuu maana anaefumuliwa marinda hana alama uson na huwez kumjua labda kama na wewe mmoja wao.
Wa "daslamu"wanaoneka hata ukiwa juu angani.sasa kama huko kote wanaonekani halafu nikae kimya.thubutu yao
 
Wa "daslamu"wanaoneka hata ukiwa juu angani.sasa kama huko kote wanaonekani halafu nikae kimya.thubutu yao
Kwahyo wa mikoan hawaonekan huon kama ni hatar zaid maana unaweza ukamuona mtu anakula sembe kilo 100 kumbe sio mwenzio bora shetan unaemjua kuliko malaika usiemfahamu
 
Kamanda umeandika english kali sana sijui kama kakuelewa au atakuwa kashaenda shamba kufukuza ngedere kwenye mikorosho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…