Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Mnatuchokoza alafu tukisema mnadai tunamipasho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnatuchokoza alafu tukisema mnadai tunamipasho.
Sasa kelele zote za nini???Marinda city baki nayo mwenyewe.
Marinda na vilvyomo tukae kimya!!!la hasha huwa tunaweka "udaslamu"pemben.kisha utanganyika unashika hatamu.Bas kama mnapita mnayoyakuta hapa muyaache hapa hapa
Kwahyo mikoan hakuna marinda?Marinda na vilvyomo tukae kimya!!!la hasha huwa tunaweka "udaslamu"pemben.kisha utanganyika unashika hatamu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado wako saloon mkuu ngoja watoke utauona moto wake!!View attachment 509907
Yapo lakin pasi ni ya mkaa,mpaka upulize.ila hapo "daslamu"tele kwa tele maana pasi ni ya "Umeme".Kwahyo mikoan hakuna marinda?
Kwahyo unaona wivu?Yapo lakin pasi ni ya mkaa,mpaka upulize.ila hapo "daslamu"tele kwa tele maana pasi ni ya "Umeme".
Mikunjo haina wivu.Kwahyo unaona wivu?
Bas kaa kimya mkuu maana anaefumuliwa marinda hana alama uson na huwez kumjua labda kama na wewe mmoja wao.Mikunjo haina wivu.
Wa "daslamu"wanaoneka hata ukiwa juu angani.sasa kama huko kote wanaonekani halafu nikae kimya.thubutu yaoBas kaa kimya mkuu maana anaefumuliwa marinda hana alama uson na huwez kumjua labda kama na wewe mmoja wao.
Kwahyo wa mikoan hawaonekan huon kama ni hatar zaid maana unaweza ukamuona mtu anakula sembe kilo 100 kumbe sio mwenzio bora shetan unaemjua kuliko malaika usiemfahamuWa "daslamu"wanaoneka hata ukiwa juu angani.sasa kama huko kote wanaonekani halafu nikae kimya.thubutu yao
Kamanda umeandika english kali sana sijui kama kakuelewa au atakuwa kashaenda shamba kufukuza ngedere kwenye mikoroshoWalugaluga bwana mwanaume anayejiamini hapati muda wa kujadili ushababi wa wanaume wengine.Nyuzi za sampuli hii zinaviashiria vya inferiority complex kwa upande wa waletaji.
-Hali ya hewa ya dar unaijua hizo deodorant na perfumes ndio zinazotusitiri tusinuke vikwapa.
-Mjini kazi zakutumia nguvu hazilipi na mashamba hakuna sasa unalazimishaje watu wawe na mikono iliyokomaa,huku kinachomata ni pesa,na utafutaji wake ni wakutumia akili zaidi na sio nguvu.
-Eti tunapenda shopping,are u serious?,hao unaowasema wewe wenye access ya kwenda kununua vitu kwenye malls na super market on a regular basis ni asilimia chache sana ya wanaume wa huku.huku uswahilini ni kwa mangi tu na gengeni,so umefanya over-generalisation
-Kama umbeya basi nawewe ni mmoja wapo manake hyo story ya lina ndo kwanza naiskia kwako,na wewe ulijuaje kama sio umbea.?
-Kupenda kula vitu laini again hyo ni over generalisation,kwanza chocolate ni snack sio chakula,alafu huwezi mpangia mtu nini ale wakati anatumia gharama zake mwenyewe ni dalili ya ushakunaku.Mnadhani kula ugali kila siku ndo uwanaume eeh?.kinachomata kwenye chakula ni nutritional content,sio ugumu.chakula kinatakiwa kiwe mlo kamili.
Kwakifupi acheni ushamba
Eti nawashwa sana umejuaje
kichwa ninaniwasha sana
nitumie dawa gani ya uwasho
nimekuja dar kuwaleteeni karoti zile mnazokula. Karoti zote mnazokula huko kwenu zinatoka kijiji chetu.
nishukuruni sana nikija tena nakuja na kachumbari matata ya kumaliza nguvu za kiume
Yeye ndio mbea mpaka anakaa kwenye mwendokasi kuangalia mtu anachat kwenyr badoo au snapchatWanaume wa Dar ni wambea?? Inakuaje nyie wa mikoani ndo mko bize kujadili wanaume wa Dar kila siku?? Hamuoni kuwa huu ndo umbea??