Tuwataje "100 Greatest Tanzanian of all time"

Tuwataje "100 Greatest Tanzanian of all time"

Statesmann,
Hii ni fikra nzuri sana lakini inahitaji umakini mkubwa sana.
Hii si kazi nyepesi itahitaji umakini wa hali ya juu sana.
Mzee hivi nikitaka kukuona nakupataje?.. If you won't mind!..
 
Mkuu hivi Paul Bomani na Mark Bomani ni ndugu wa damu?

Je kuna ukweli kwamba Paul Bomani alifadhili harakati nyingi za Mwalimu Nyerere kudai uhuru?

Paulo ni mkubwa, Marc ni mdogo. Yes ni ndugu wa damu.

Kuhusu ufadhili kwa kweli sifahamu. Ngoja nitasoma au nitauliza wakongwe.

Mimi nilisoma mahali kuwa John Rupia ndo alikuwa mmoja wa wafadhili wa Julius Nyerere.
 
Frank humplik namuelewa sana , utadhani hakuwa mzungu kwa zile tungo zake
 
Mkuu Mohamed Said kama hutojali tunaomba ucompose list ya watu 100 waliotoa mchango wao mkubwa kwenye nchi hii, kama hutojali.
 
Nime scroll hadi mwisho ila sijauona utatu mtakatifu...jiwe, DAB na musiba.

Hutaki teuzi mkuu??
 
Back
Top Bottom