Alikuwa mzungu?!Frank humplik namuelewa sana , utadhani hakuwa mzungu kwa zile tungo zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa mzungu?!Frank humplik namuelewa sana , utadhani hakuwa mzungu kwa zile tungo zake
What about Max Melo?!bado wachanga sana hao
Asante umefanya nimfahamu zaidi, kwa mara ya kwanza nilimsikia kwa Masoud Masoud TBC Taifa.Nguvu,
Frank Humplink alikuwa baba yangu rafiki yangu nikifika nyumbani kwake Lushoto
na tukizungumza mengi katika maisha yake ya muziki akiwa Moshi na baadae
Nairobi.
Kila nikifika alikuwa lazima mwisho wa mazungumzo yake atatoa guitar lake
na kuniimbia nyimbo zake alizorekodi wakati wa enzi zake kati ya 1950 - 1960s.
Alipofariki nilimwandikia taazia abayo ilichapwa katika The East African:
![]()
THE PIONEER OF THE EAST AFRICAN SOUND Franz Yosef Humplick 1927 – 2007
THE PIONEER OF THE EAST AFRICAN SOUND Franz Yosef Humplick 1927 – 2007 Frank Humplick with his guitar at his residence in Lus...mohamedsaidsalum.blogspot.com
Yeah, Mswiss na Mchaga ndio wamemzaa, alikuwa kichwa sana yule ndugu.Alikuwa mzungu?!
Nimerejea tena baada ya kufanya tafakuri na kwenda nyuma katika kumbukumbuStatesman,
Mimi nimeshawaandika wale niwajuao sasa ni zamu ya wengine na wao
wakatupatia majina ya wale ambao hawajatajwa.
Huyu anaingia kwenye list aisee.What about Max Melo?!
hauko serious mkuuTOP 15 yangu ambao hawajatajwa kabisa
1. Jenerali Ulimwengu
2. Richard Mabala
3. Rugemalira Mutahaba
4. Samwel Sitta
5. Mohammed Dewji
6. Muhammed Said Abdulla
7. John Kaduma
8.John Msimbe Simbamwene
9. Aristablis Elvis Musiba
10.Maria Tsehai Sarungi
11. Hussein Tuwa
12. Prof. Joyce Ndalichako
13. Asha Baraka
14. Kelvin Twisa
15. Happiness Magese
Ni kweli,katika hili ni wazi Wizara husika ilichukue hoja na mawazo yetu kama pilot study ya elimu kuhusu Uzalendo.Statesmann,
Hii ni fikra nzuri sana lakini inahitaji umakini mkubwa sana.
Mathalan umewataja Abdul na Ally Sykes na hii nadhani katika kategori ya
wanasiasa.
Umemsahau baba yao Kleist Sykes.
Kleist Sykes anao wenzake waliofanya makubwa katika wakati wao kama
Martin Kayamba, Erika Fiah kwa kuwataja wachache.
Hapo hapo ikiwa utawataja Abdul, Ally na Nyerere lazima umtaje na Hamza
Mwapachu.
View attachment 1170796
Hamza Kibwana Mwapachu
Umemtaja mwanamuziki Diamond,,,
Itabidi uwataje wanamuziki ''pioneers,'' kama Frank Humplink, Salum Abdallah,
Ahmed Kipande, Mbaraka Mwinshehe, na wengine...
View attachment 1170795
Salum Abdallah na Cuban Marimba Cha Cha Band
Hii si kazi nyepesi itahitaji umakini wa hali ya juu sana.
Acha story za kuambiwa vijiweni dogoUnansahau vipi Mshume Kiyate muuza samaki Kariakoo aliyechukuwa jukumu la kuihudumia familia ya Nyerere wakati wa harakati za kudai Uhuru?
amalize kwanza awamu yake ndio tupime mchango wake kwa taifaJPM should be number 2 on the list ,but mtakuja kuongea wenyewe akisha ondoka baba Wa watu