Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,461
- Thread starter
- #81
huyu mtu hakuwahi kuexist nasikia alikuwa chief "hewa"Chief Mangungo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mtu hakuwahi kuexist nasikia alikuwa chief "hewa"Chief Mangungo
Gitari...Acha story za kuambiwa vijiweni dogo
Taperi no 1 TanzaniaBabu wa Loliondo.. Chuma Mwasapile.
Sio fundi tu ni mtaalamu wa hizi kazi.Taperi no 1 Tanzania
Gita...Acha story za kuambiwa vijiweni dogo
Swali gumu sana kupata majibu yake, kama ni kijana tu aliyejitolea kuunga mkono harakati iweje awe katikati ya vigogo hao!Nimerejea tena baada ya kufanya tafakuri na kwenda nyuma katika kumbukumbu
zangu za udogo nikikua katika mitaa ya Kariakoo.
Naamini si wengi wanaomfahamu Rashid Sisso.
Lakini endapo Mwalimu Julius Nyerere angejaaliwa kuandika historia ya maisha
yake pale alipoanza siasa Dar es Salaam baada ya TANU kuundwa, atake asitake
lazima angetueleza Rashid Sisso alikuwa nani kwake na kwa TANU.
Baa ya TANU kuundwa mwaka wa 1954 kilijitokeza kikundi cha vijana wa mjini
waliomuunga mkono Nyerere kwa kujitolea nafsi zao.
Mmoja katika hawa alikuwa Rashid Sisso.
Lile ambalo lingempata Nyerere basi Sisso lisingemkosa.
Hebu jiulize katika picha hiyo ya watu wakubwa sana Nyerere, Kamuzu Banda,
Kaluta Amri Abeid Sisso inakuwaje awe katikati ya miamba hii?
View attachment 1171621
Mkuu hivi Paul Bomani na Mark Bomani ni ndugu wa damu?
Je kuna ukweli kwamba Paul Bomani alifadhili harakati nyingi za Mwalimu Nyerere kudai uhuru?
sasa inafichwa kwa manufaa ya nani?
kwanini credit zote za kupigania uhuru wa nchi ziende kwa mtu mmoja?
tangu nasoma shule ya msingi yaan najua Nyerere ndio kila kitu kumbe nyuma yake kuna wengi tu wanastahili kuenziwa
Kiboko ya wakoloni... Alikuwa anachukua Mali zao kishirikina na kugawa kwa maskiniHuyu ni nani mkuu?
Huyo ni ndio the Mastermind wa Maji maji warKinjikitile anafanya nn kwenye list mzee baba?
Nchi hii inahitaji kukombolewa tena kifikra ili waasisi hili Taifa waenziwe wote bila kujali dini/kabila zao. Historia ya nchi hii inabidi iandikwe upya.Nashukuru mkuu umekuja
Mkuu mimi nmchanga sana katika historia yetu ya nchi hivyo nimetoa kama mwongozo ila nategemea zaidi mawazo ya wadau kama nyie kuboresho orodha.
Halaf sikujua Kleist sykes ni baba yao Abdul na Ally , halafu hivi hawa watu wameenziwa kwa lolote? hawa watu walipaswa wawe amongo the Founder's fathers of our Nation!