Mama Anna Makinda
Mwanamke alikuwa akipigiwa kura jimboni na kushinda mfululizo na kuwa spika wa Kwanza mwanamke Tanzania. Na hakuharibu
Mama Getrude Mongela ( Huyu mama tangu yuko chuo mpaka amekuwa kiongozi kimataifa.
Dr Asha Rose Migiro. Mtanzania pekee kufikia cheo kikubwa UN
Miriam Odemba
Mtanzania wa kwanza kutambulika kimataifa kwenye tasnia ya urembo na bado yupo vizuri. Huyu ndo aliimarisha safari za warembo smart waliofuatia.
Bi Kidude
Khadija Kopa
Prof. Esther Mwaikambo (the first female doctor and first female Vice chancellor)
Esther Chabuluma -Mchezaji mfungaji wa Twiga stars.
Rita Paulsen - Bongo star search imewatoa vijana wengi
Rebecca Gyumi - Mwanasheria ambaye amepata tuzo za kimataifa kupigania wasichana
Halima Mdee -Mwanasiasa wa kike wa kwanza kuingia bungeni chini ya miaka 30 akitokea upinzani.
Nancy Sumari - Mrembo aloshinda taji kwenye miss world
Dr Judith Mhina - Mmiliki na Mkurugenzi wa PMM ICD kampuni kubwa.
Angelina - Mfanyabiashara mmiliki wa Bravo logistics, Agricom, Green city