Tuwataje "100 Greatest Tanzanian of all time"

Mtu yeyote aliyefariki kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa mwaka 1964, hajawahi kuwa Mtanzania.
Kha !! Mtu wa vurugu vipi tena!!!tena!?
===
Nadhani katiba iliyotungwa/rekebishwa iliwapa wote waliokuwepo kabla ya muungano kuwa Watanzania. Ngoja wenye vifungu waje watuweke sawa.
 
Pius Msekwa, Horace Kolimba, Mwamwindi, Chidel Mgonja na Amir Jamal.
 
Hii kazi hujafikia level ya kuifanya, Diamond?
 
Habib Kinyogoli,

Emmanuel Mlundwa,

Omar Mahadhi.

Sunday Manara,

Abdallah Kibaden

Power Mabula

Leodgar Tenga

George Masatu

Kenneth Mkweche

Gibson Sembuli
 
Sewa Haji wa Bagamoyo, Mwanamalundi, yafaa wawepo pia.
 
amalize kwanza awamu yake ndio tupime mchango wake kwa taifa
Kuwa raisi wa Tanzania tayari ni sifa tosha ya kuwepo kwenye orodha.

Kusubiri amalize muda ni kigezo kisichokuwa na mashiko maana hakuna kipimo cha kupimia mafanikio ya uraisi wa nchi.
 
salehe jabri huyu ndo kijana wa kwanza kutoa album ya bongo fleva na ikauza nchi nzima
 
Kwa hii orodha na huu mwandiko yawezekana nikawa nakujua ama tuna share one thing in common

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juma Kilaza "ngoma iko huku, ukitaka chacha chacha
 
K
Kwani Mandela anapowekwa juu kila kitu alifanya peke yake.Mbona alipata msaada mkubwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…