YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Ukitaka waseme hawaridhiki.kwani gari ya kwao? Kama hawataki spidi kubwa wangepanda treatsKwakweli nilichogundua raia hawajali,yaani juzi nilipanda gari toka arusha kuja dar,gari inakula kona balaa abiria wakiulizwa na askari wanasema tumeridhika na mwendo,nikaona watanzania wao wanasubiri ajali itokee ndo waanze lawama wao kama wao hawawezi kuchukua hatua.
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Kama serikali hairuhusu mabasi kutimka mbio mpaka speed limit waruhusu matrekta yajengewe bodi za mabasi yaanze kusafirisha abiria masafa marefu ya mikoani.Waanze kutoa.leseni kwa matrekta