Ukitaka waseme hawaridhiki.kwani gari ya kwao? Kama hawataki spidi kubwa wangepanda treatsKwakweli nilichogundua raia hawajali,yaani juzi nilipanda gari toka arusha kuja dar,gari inakula kona balaa abiria wakiulizwa na askari wanasema tumeridhika na mwendo,nikaona watanzania wao wanasubiri ajali itokee ndo waanze lawama wao kama wao hawawezi kuchukua hatua.
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Ndio maana mnaitwa nyani!! Utoto utoto tuuuuu mzungu kalitengeneza gari na ana heshimu !!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1]Nakumbuka kuna siku nilitoka tunduma to dar kampuni kapuni yani siitaji kuna jamaa alikuwa anapita kuchangisha mchango wa buku mbili mbili kwaajiri ya faini za toch nazile ela akakabiziwa konda yani tunduma to dar tuliingia saa11 niliflai sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ndiye sampuli ya watanzania wajinga waliojaa nchini. Hii nchi inapaswa wapewe waarabu. Hatuwezi kufika popote kwa aina hii ya watu.
Kwa dereva mwenye akili timamu ile barabara siyo ya kukimbiza gari hata kidogo, ni nyembamba, ina miteremko ya kufa mtu ukiwa unaelekea Tukuyu na kona kali za kishtukiza.Msisahau hizi coaster za kutoka Mbeya kwenda Tukuyu/Kyela mwendo wao si sawa hta kidogo.
I mich u best yanguMtanzania ataona kibao 50km/h yeye anaona walioweka hivyo mataahira ila yeye ndio mwenye akili ataenda 180.
Baadaye akikatika miguu aanze kusumbua ndugu hawamuhudumii au akiitwa tumbili na mwarabu au mzungu anakasirika 😬.