Tuwatambue Wanamuziki wanaofanya muziki kwa hasara

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
1.Vanessa mdee
Huyu pamoja na kuwa na jina kubwa ila hana lolote kiukweli anaboronga sababu nyimbo nyingi anajifanya anaimba kizungu. Huyu dada ukisikia ameenda nje ya nchi ni kutafuta collabo au kufanya video

Tofauti na fiesta huwezi sikia amefanya show ya kujitegemea hata matombo na kwa kujiamini anasema album yake imegharimu milion 100 swali je amezitoa wapi? Au atasema kutokana na kulipwa youtube?

Hapa tunapata wasiwasi na ile skendo makonda alhusisha nayo mwaka jana ya ngada

Ntarudi
 
ney wa mitego alishasema ukishakuwa na dada yako ambaye ni msanii wa kike mashemeji zako ni producers na watangazaji...

back to the topic....
v hanakitu, atakuwa anahongwa tu huyo. kulingana na ukubwa wa jina lake she deserves more.
 
Ni kweli hata chemical anatoka na maxmizer ila kwa huyu atakuwa punda si bure hafanyi show nje hafanyi ndani ila safari sana nje
ney wa mitego alishasema ukishakuwa na dada yako ambaye ni msanii wa kike mashemeji zako ni producers na watangazaji...

back to the topic....
v hanakitu, atakuwa anahongwa tu huyo. kulingana na ukubwa wa jina lake she deserves more.
 
Hiyo ndiyo show kubwa zaidi ya wasanii wa Africa duniani. Mwanadada Vanesa mdee ana perform kwenye miji miwili ambayo unaweza kuwa unaota kwenda hata kuzuga tu, ila yeye anaenda kupiga kazi. Kwa statistic za nanjilinji na sengerema zinambeba sana aslay, na ndio mwisho wa information mnazozipata ndio maana sishangai hii post yako. Inamaana haujui kuwa huyu bi dada juzi tu katoka kuperform kwenye Nigerian awards. Anyway, kwa upeo wako unaamini kuwa wanao perfom Dar live ndio mziki unawalipa.
 
Tena sio mbili, ana perform show kubwa zaidi ya wa africa ughaibuni tatu. Hiyo show inawakutanisha wasanii wakubwa waliofanya vizuri Africa. Sasa kama anaweza kupiga show na kina casper nyinvest, kina wizkid na kina davido unashangaa kughalimu 100mil? Onyo. Next time ukitaka kumuongelea mtu jaribu kwanza kutafuta information za kutosha. Vee money hawezi kupiga show za dar live kwa sababu ya mtonyo na anajielewa. " last year alimgomea gavana joho kwenye show ya chriss brown kenya kwa sababu alitaka 40mil, mpaka vee akaandika kwenye social network kuwa wameshindwana na hatoperform wakati walishamuweka kwenye matangazo, ikabidi wakampa mkwanja akaenda kupiga show. Je ni msanii gani unahisi ana guts za kufanya hivyo. Ndio maana anapiga za kimataifa tu bcoz Hizo show mlizozoea za Dar live hazilipi.
 
Punguza chuki mtoto wa kiume unatupa wasiwasi uhalali wa jinsia yako. Huyo uliyomtaja haendani na article yako in short huyo Dada anajituma sana na ni kati ya wasanii wa chache wa kike Afrika wenye ushawishi kwa sasa . na sio siri kila mwenye macho naona hilo, tutolee pumba zako
 
hahahaaa

halafu aliykwambia uchange avatar nani ...umenichanganya ujue
Hahaha mkuu, umenifurahisha. Pole kwa kukuchanganya kidogo.. ile inatisha kidogo haha
 
HII LIST SIMUONI BABU WA KARIAKOO AU NAE LEVEL ZAKE NI FIESTA???AU NAE ANAFANYA KWA HASARA NINI???
 
Hahaha mkuu, umenifurahisha. Pole kwa kukuchanganya kidogo.. ile inatisha kidogo haha
hahaa watoto wazuri ndio wamekwambia hvyo ..kuwa ile inatisha ..daahhh kweli akitakacho binti mwanaume lazima utanunua
 
hahaa watoto wazuri ndio wamekwambia hvyo ..kuwa ile inatisha ..daahhh kweli akitakacho binti mwanaume lazima utanunua
Mkuu hawa viumbe wananguvu sana, mcheki ata samson alizidiwa kete na mrembo delilah ..
 
ney wa mitego alishasema ukishakuwa na dada yako ambaye ni msanii wa kike mashemeji zako ni producers na watangazaji...

back to the topic....
v hanakitu, atakuwa anahongwa tu huyo. kulingana na ukubwa wa jina lake she deserves more.
Mi sipendi anavyokaa uchi tu yaani mapaja na matiti yake yaliyolala ni "mali ya umma"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…