aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
1.Vanessa mdee
Huyu pamoja na kuwa na jina kubwa ila hana lolote kiukweli anaboronga sababu nyimbo nyingi anajifanya anaimba kizungu. Huyu dada ukisikia ameenda nje ya nchi ni kutafuta collabo au kufanya video
Tofauti na fiesta huwezi sikia amefanya show ya kujitegemea hata matombo na kwa kujiamini anasema album yake imegharimu milion 100 swali je amezitoa wapi? Au atasema kutokana na kulipwa youtube?
Hapa tunapata wasiwasi na ile skendo makonda alhusisha nayo mwaka jana ya ngada
Ntarudi