Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Ila wakati ule nyinyi wenyewe mlikuwa mnalilia mabadiliko ya katiba ya kuongeza muda wa urais na mliona hayo ni sawa ninyi hao hao leo ninyi hao hao hamtaki katiba iguswe.Katiba iliyopo ina mazuri mengi tu.....
Wanasiasa wanajaribu kuupotosha umma kwa maslahi yao ya uchu wa madaraka.....
Wako wale wanaoitaka TANGANYIKA......
Wako wale wasioutaka huu MUUNGANO......
Wako wanaozitaka Serikali 3 kwa udi na uvumba.....
Ni uroho tu wa MADARAKA.....
Katiba iliyopo IMEUNDWA VYEMA SANA ,inaakisi DEMOKRASIA TUITAKAYO....Tanzania si nchi ya KILIBERALI ,ukitaka uige demokrasia ya nchi nyinginezo basi ni sawa na kutaka KUIFUTA HISTORIA YA TAIFA HILI.....
#KatibaMpyaSiHitajiLaWatanzaniaWote
#KaziIendelee
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app