Tuwatambue Wanaopotosha Ajenda kuhusu Katiba Mpya

Ila wakati ule nyinyi wenyewe mlikuwa mnalilia mabadiliko ya katiba ya kuongeza muda wa urais na mliona hayo ni sawa ninyi hao hao leo ninyi hao hao hamtaki katiba iguswe.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ila wakati ule nyinyi wenyewe mlikuwa mnalilia mabadiliko ya katiba ya kuongeza muda wa urais na mliona hayo ni sawa ninyi hao hao leo ninyi hao hao hamtaki katiba iguswe.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Wangapi walilia hayo?!!!

Binafsi siungi mkono kuongezwa muda wa UTAWALA kwa kiongozi na mtawala awaye yeyote.....

Tunazisoma historia na nyendo za maisha ya walimwengu.....

Dunia haijaanza Jana.....

Ninapinga ujaji wa KATIBA MPYA kama nilivyopinga kuongezwa nyongeza ya kutawala kwa Rais wa awamu ya 5.......

#KaziIendelee
#CCMFikra
 
Basi kaa kimya huna mawazo ya maana!
Unaonesha kiasi gani si mwelewa wa nyendo za maisha ya ulimwengu.....

Huku migundini Kuna BODABODA wenye shahada nzito tu....endelea tu KUWADHARAU kwa kuwaona wajinga wanaotafuta kwa jasho lao huku mkiamini ninyi BAVICHA ni werevu kupambana na SERIKALI YA CCM.....

Uwerevu wenyewe ni kudakwa na kupelekwa SEGEDANSE kila uchao .....🤣

Mathalani Kenya na Nigeria Kuna SUNGUSUNGU walio mpaka na elimu ya UZAMILI.....kalaghabaho.....

Endelea KUKARIRI ya UFIPANI.....

#NaziHaishindaniNaJiwe


#KaziIendelee
 

Kuna mateja hudhani Obama ni mshikaji wao. Hongera zenu enyi mateja wenye shahada nzito nzito!
 
Kuna mateja hudhani Obama ni mshikaji wao. Hongera zenu enyi mateja wenye shahada nzito nzito!
Umeamua kunitukana mkuu wangu....

Ila mdomo ni wako kaka.....

Endelea kujiona mwerevu kama MDUDE NYAGALI anayepambania YASIYOPO.....🤣

Binafsi meza za akina "OBAMA" Wala siwezi kuziona.....

Hisia na uhalisia ni vitu viwili tofauti.....
 
Mkianza dhambi ya ubaguzi mjue nanyi hamtosalimika. Suala la katiba linamhusu kila Mtanzania, na KIKATIBA, Mtanzania mwenye mawazo tofauti juu ya takwa la katiba mpya si msaliti wala hakwamishi mchakato huo.

Tatizo lililopo ni suala hilo kufanywa la genge flani tu - Chadema na wanaharakati wa mtandaoni - na si la Watanzania wote. Kama ni letu sote basi mjadala usibinafsishwe kuwa wa kundi la waunga mkono tu, kwa sababu kila Mtanzania ana haki KIKATIBA kukubali au kukataa wazo la katiba mpya.

Majuzi Profesa Shivji kadhalilishwa kaambiwa akili zake zinaathiriwa na umri huku wengine wakidai anataka u-DC, "kosa" lake pekee ni kutahadharisha kuwa katiba mpya sio mwarobaini wa changamoto mbalimbali zinazowakabili Watanzania.

Ni muhimu mnaotaka Katiba mpya mkatambua pia kwamba ili ajenda hiyo ifanikiwe sio tu mtahitaji sapoti ya makundi mengine yasiyo ya kisiasa au kiharakati bali pia yaweza kuwalazimu kufanya kazi na watu msioafikiana nao kimtazamo.

Kama kweli kiu ni katiba kwa ajili ya Watanzania wote, hii desperation (na pengine uhuni kabisa) ya kunyoosheana vidole inatoka wapi? Au kuna mnalojua tusilojua?
 
Umeamua kunitukana mkuu wangu....

Ila mdomo ni wako kaka.....

Endelea kujiona mwerevu kama MDUDE NYAGALI anayepambania YASIYOPO.....🤣

Binafsi meza za akina "OBAMA" Wala siwezi kuziona.....

Hisia na uhalisia ni vitu viwili tofauti.....

Umeamua kujidanganya kuwa umetukanwa?

Kwa tabia hizo huwa tunawasajili kwenye list pendwa kama huyu aliko:



Hapo kila mtu anapumzika kwa amani. Kila mtu anabaki na m@vi yake.

Kwa nini kupigishana kelele na vyawa wasiokuwa na logic?
 
Hakika Komredi!

Labda watueleze nasi tuyajue wanayoyajua......
 
🤣🤣🤣
Nawe umepaniki kaka.....

Unaniita mimi chawa....sawa....

Wewe ni kunguni wa UFIPA ama?!!!

Relax mkuu....
 
walilia katiba ni mambumbumbu na wapumb*^u... kwanin nasema hvo? kwa sababu huwezi kulazimisha mtu akubaliane na hoja zako wakati haoni umuhimu wake na akitaka kuhoji au kupingana na ww unamshambulia kwa matusi na maneno ya kejeli... ndo maana mama kawaita waleta chokochoko sababu hamueleweki mnadai kitu gani..!!!
 
Swadaktaa.....👍

Hao ni waleta CHOKOCHOKO....

#KaziIendelee
 
Katiba inhekuwa hoja ya ushawishi CHADEMELA wasongetanguliza shinikizo wakati wanajua kabisa huo uwezo wa kushinikiza chochote hawana.
Nonsense [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Nonsense [emoji706][emoji706][emoji706]
 

Katika nyakati zote kufanya tathmini ni noble duty. Tathmini zinasaidia kuwafahamu washirika na mahasimu pia.

Katika mahasimu kuna vyawa na wenye issues au mambo ya uelewa.

Kuwatambua washirika ni nani, wanaoweza kuwa washirika ni nani na vyawa ni nani huo hauwezi kuitwa ni ubaguzi, bali huo ndiyo uhalisia wenyewe.

Walichofanya Chadema ni kuratibu na kuongoza hatua hii ya mwanzo kabisa ya kuanza kudai kurejelewa kwa mchakato wa katiba mpya. Kumbuka kuna tofauti ya katiba mpya na mchakato wa katiba mpya.

Hivyo si sahihi kudai kuwa Chadema wamemtenga au kumbagua yeyote mwenye nia kama yao kwenye jitihada hizi.

Kuanza kudai kurejelewa kwa mchakato wa kudai katiba mpya hakuwezi kuanza spontaneously kama mvua. Kulihitaji mwenye ujasiri wake kufanya hivyo. Washukuriwe Chadema kwa hilo.

Labda wewe ulipendelea nani angeuanzisha? Au kuuanzisha Chadema kuna tatizo gani?

Kulikuwa na uzi humu kuhusiana na kuwatambua wanachama wa vyama mbalimbali mitandaoni:

Watambue Wanachama wa Vyama Mitandaoni

Sina hakika kwanini unarukia kudai kuwa suala hili limefanywa kuwa la Chadema na hao unaowaita wana harakati wa mitandaoni.

Umekutana wapi na Chadema au wanachama wake kukupa msimamo huu unaoujengea hoja kuwa hii ni ajenda yao peke yao?



Huyo naye ni Chadema?

Hakuna anayenyooshewa kidole asiyekuwa chawa. Hawa walionyoa viduku pichani hatuwezi kuacha kuwanyooshea vidole:



Kumekuwa na nyuzi kadhaa kuhusu wao. Maridhiano gani unaweza kuwa nayo na jingalao, Magonjwa Mtambuka au aliyekuwa "bia yetu?" Kikamilifu hao ni wasaliti na wamechagua iwe hivyo. Tuna options gani zaidi ya kuwakubalia?

Hakuna anayekataa kujadiliana kwa hoja. Ndiyo maana Chadema waliomba kukutana na Mama Samia pamoja na kuwa viduku wako kazini kulihujumu hilo.

Kuhusu Prof. Shivji kuna nyuzi kuhusu yeye na hata maoni ya mzee Warioba kumhusu yeye. Unaweza zirejea nyuzi hizo kuona wapi anaweza kuwa aliwa irk watu.

Prof Shivji aliwahi kusema yeye si mwana Muziki akimaanisha si kila akisemacho kitawapendeza watu. Sentensi hiyo ina ukakasi wake.
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji36][emoji36][emoji36]
 
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Umeamua kunitukana mkuu wangu....

Ila mdomo ni wako kaka.....

Endelea kujiona mwerevu kama MDUDE NYAGALI anayepambania YASIYOPO.....[emoji1787]

Binafsi meza za akina "OBAMA" Wala siwezi kuziona.....

Hisia na uhalisia ni vitu viwili tofauti.....
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…