Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Magufuli asingekubali hatakidogo
Mkuu Father of All , kwenye hili la DPW na Bandari zetu, ni wanamuonea tuu Mama!. Niliwauliza humu DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa?Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake?
hakuna mwenye jibu!.Wanabodi,
Nichukue fursa hii kuendelea kumpongeza rais wetu Mama Samia, kwa kuendelea kuwa na ngozi ngumu!, maana kuna vitu vinasemwa, ikijiuliza kama angekuwa ni Magufuli, vingesemwa?. Hata huo mkataba wa IGA, tungeuona?, hata huko Bungeni ungepelekwa?. Mnyonge tumnyongeni jamani, haki yake mpeni!, kwenye hili la kupeleka mkataba huu wa IGA kuridhiwa na Bunge, ni jambo jema linalo stahili pongezi za dhati.
Paskali.
Nani kakudanganya kwamba hakuna mwenye jibu?Ni wanamuonea tuu Mama!. Niliwauliza humu DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa? hakuna mwenye jibu!.
P
Naunga mkono hojaKatika suala la Kulinda Mali asilk za Nchi, Embu Tumoe Hayati JPM Maua yake
Vipi kailinda? Mali asili? Tena ndiyo imemla vibaya kweli.Sikuona tatizo kiivo Kwa sababu Aliyekia Anaongoza alikua ni mtu wa Mungu na Mwenye Akili kiwango cha juu.
Ndio maana licha ya Kua na Bunge hili, Bado Nchi ilikwenda vizuri!!.
Katika suala la Kulinda Mali asilk za Nchi, Embu Tumoe Hayati JPM Maua yake
Hatuipingi DP WORLD tunapinga contents zilizomo kwenye mkatabaSitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
DP World siyo tatizo kabisa; tatizo ni mktaba unaowaleta. JPM hangekubali mktaba huo wa kijinga hivyo.Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
kule DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa? sikuona jibu!.Nani kakudanganya kwamba hakuna mwenye jibu ?
mama Samia ni wa kupongezwa 100%.
Ungeacha kumuunga mkono msukuma na mkristo mwenzio ningeshangaa sana.Naunga mkono hoja
P
Hapa tuko pamoja!.mama Samia ni wa kupongezwa 100%.
Dada yangu kipenzi, FaizaFoxy mimi sijawahi muunga mkono mtu yoyote kwa sababu ya ukabila wala udini!, naunga mkono au kukosoa utendaji tuu wa mtu.Ungeacha kumuunga mkono msukuma na mkristo mwenzio ningeshangaa sana.
Jitahidi sana tu.Sijawahi muunga mkono mtu yoyote kwa sababu ya ukabila wala udini!, ndio maana japo mimi ni Mkristo lakini nakupenda wewe swala 5!.
P