The Shah of Tanganyika
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 602
- 1,572
Kwanza rekebisha uelewa wako. Bandari zote za Tanganyika zimenyakuliwa bila malipo. Hazijauzwa bali zimekabidhiwa kwa mwarabu milele bila ukomo.Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Pili, acha kuwaandama wafu. Magufuli alishafariki siku nyingi. Usitake kumbambikia uchafu wako wa mikataba ya kitapeli.