kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Wewe kwa akili yako unafikiri magufuli angeweza kuingiza nchi mkataba wa kijinga kama huu wa dubai? Tiscs tu alikua anatamani kuwatimua kabla ya mkataba kumaliza sema wakakubali kuzidisha mara mbili kiasi walichokua wanailipa serikali. Hapo ndio kukawepo makubaliano wamalizie miaka michache iliyokua imebakia kwenye mkataba wao.Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?