Tuwaze mrejereo: Hivi DP World ingeletwa na Magufuli ingepingwa?

Tuwaze mrejereo: Hivi DP World ingeletwa na Magufuli ingepingwa?

....wakati wa Magufuli Mkataba wa kipumbavu huu asingekubali....shida ya wapemba wanadhani wakimkirimu Mwarabu wanadhani mamkirimu mtume
Hii ni kweli kabisa, yaani kwao mwarabu ni mtume kama sio 'mungu' kabisa.... unaweza kuona hata juhudi za 'ajuza' kukesha mitandaoni kushadadia hili jambo.
 
Kuvuruga uchaguzi sio kuuza nchi. Hizo ni internal affairs uwe na akili dogo.

Mkataba wa DP World ni kuuza nchi mchana kweupe.
 
Ungeacha kumuunga mkono msukuma na mkristo mwenzio ningeshangaa sana.
Inasikitisha sana badala dini ikupe utulivu wa kufikiri, imekuondolea uwezo wako wa kufikiri, Kila jambo unalitazama kidini,
Umekuwa kituko kweli , jitafakari ubadilike urudi kwenye uwezo wako wa kufikiri
 
Hivi mtanzania ambaye ni muislamu anafaidika vp na urais wa Samia hapa Tanzania au uislamu hapa Tanzania unafaidikaje na utawala wa Samia hivi sasa?

Nimekuwa nikijiuliza sana hiki kitu na kuona pengine kuna manufaa ama fursa ambazo sijazigundua.
Ana tatizo huyu bibi, mdini wazi wazi

Afaidiki na chochote ila mjinga tu
 
Binafsi nadhani yawezekana ingekuwa hivyo ila sio kwa vipengele vya mkataba kama vilivyo hapo Magufuli asingekubali hata kidogo.

DPW si wabaya, kibaya ni namna mkataba ulivyo.

Kumbuka sakata la bandari ya Bagamoyo.
Jitahidi sana tu.


Nia na mawazo ya mtu hayajifichi kwenye maandiko, si lazima upinge wazi. Lini Nyerere aliwahi kuupinga Uislam wazi lakini vitendo vyake havikuwahi kuuficha ukweli.
Tatizo sio DP world tatizo mkataba haueleweki mbona mnajifanya hamuelewi watu wanacho uliza?
 
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Magufuli wala asingewaleta hao Waarabu, aliwakataa wachina kupewa bandari ya Bagamoyo sembuse iwe hii ya Dar Es Salaam. Usitulishe jambo ambalo halikuwepo na mhusika hayupo!
 
Isingepingwa Kwa kua pamoja madhaifu yake kama binadamu ila kwenye mikataba alikuwa makini na alifuata ushauri wa wanasheria
 
Naona kila kona Lissu anashambuliwa kwa kusema kweli

Tuache ukweli utuache huru
Huu mkataba wa Dp ni aibu

Rai Makini yoyote asingefanya mkataba kama huu
 
Walisaini wakiwa ktk mazingira Gani?

Walisoma mkataba kabla ya kusaini, au walisaini baada ya kusoma, au walisaini bila kusoma?

Why, Kabudi hakushirikishwa, na kwann AGG haipo Saini yake?

Hili dude ni FAKE na BATILI!!
 
JPM apumzike kwa Amani huko aliko, Tunaomba pia Taratibu za Kwenda Kutembelea Kaburi lake je Serikali imeshaweka huo utaratibu
Mana ni Rais Bora kabisa Nchi imewahi Kupata
 
Back
Top Bottom