Tuwaze mrejereo: Hivi DP World ingeletwa na Magufuli ingepingwa?

Ukweli nikua ata Bungeni MoU isingefika bali angemuita Kabudi na Mpango kupitisha na kazi kuanza haraka
 
Ni mkataba wa kimataifa ni lazima uende bungeni, na mkataba huu ulivuja kwenye mitandao baadae serikali ndiyo ikautoa
Acheni nadharia..kabla ya taarifa za MoU kwenda Bungeni ni mtandao gani uliweka jambo ili na kuanza kujadili?!
 
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Yaani Kuna watu hawaoni utata wa mkataba huu kweli? MAGUFULI mwenyewe alisema: Ni kichaa peke yake anayeweza kuushabikia mkataba wa aina hii.
 
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?

Jpm asingwe ruhusu huu mkataba wa kishenzi.
 
Ungeacha kumuunga mkono msukuma na mkristo mwenzio ningeshangaa sana.
Kauli yako inadhihirisha unaunga mkono mkataba wa bandari kutokana na dini yako na Uzanzibar wako tu. Si kwa ajili ya uzuri wa mkataba. Unadiriki kusema Paskali asingempinga Msukuma na Mkristu mwenzake! Hivyo sivyo tunavyokuwa wengi wa wale tunaoupinga mkataba wa bandari. Hatupingi mkataba kwa kuwa Rais wetu wa sasa ni Muislamu na mkataba umetolewa kwa Waarabu ambao ni Waislamu. Mbona SGR inashughulikiwa na nchi ya Kiislamu ya Uturuki na bwawa la Nyerere linashughulikiwa na nchi ya Kiislamu ya Msri? Kama ingekuwa kupinga mradi kwa sababu ya dini, iweje hiyo miradi miwili niliyoitaja hatuipingi?
 
Ungeacha kumuunga mkono msukuma na mkristo mwenzio ningeshangaa sana.
Watanzania tuna tatizo kubwa kwa sababu baadhi yetu ni wanafiki wanaongea mdomoni uzalendo wa nchi, usawa, umoja wa kitaifa lakini mioyoni wamejaa kinyongo na nongwa za hatari!!!

Mungu atatusaidia baadhi yetu hawa wataelewa umuhimu wa kuwa wakweli na kuacha Unafiki. Aamin.
 
Kutokana na hili sakata la uporaji wa bandari za Tanganyika, ninawashauri Wazanzibari wajitahidi haraka sana wajitoe kwenye huu muungano feki.

Nionavyo mimi, endapo kutakuja kuibuka sintofahamu juu ya huu mkataba wa DP World, rais atakayekuwepo anaweza kuja kuiuza stone Town ya Zanzibar ili kuwalipa Wazanzibari madhambi na kufuru wanazotupitishia watanganyika bila ridhaa yetu.

Sisi tunachoona ni kuwa Wazanzibari wameamua kuuza rasilimali zetu kwa bei chee ili siku zijazo tusiwe na pa kushika.
Wewe badala ya kuidai Tanganyika yako unataka Wazanzibari wakudaie?

Wazanzibari washasema, "ana kwao huyo".

mtajaza wenyewe.
 
Watanzania tuna tatizo kubwa kwa sababu baadhi yetu ni wanafiki wanaongea mdomoni uzalendo wa nchi, usawa, umoja wa kitaifa lakini mioyoni wamejaa kinyongo na nongwa za hatari!!!

Mungu atatusaidia baadhi yetu hawa wataelewa umuhimu wa kuwa wakweli na kuacha Unafiki. Aamin.
Aamiin.
 
Kama Mwendazake Magufuli angelikuwepo wala huu Mkataba wa kifisadi wa DPWord usingelikuwepo leo wala kuusikia! Hv nnani ndani ya CCM angelikuwa na guts za kwenda Dubai kusaini huu upuuzi??JPM alikuwa hataki ujinga kwene mikataba!!
 
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
JPM hakuwa na papara na wawekezaji wa nje. Pili kabla mkataba haujaanza angeanza kutembelea bandari zote Dar, Mtwara,, Lindi, Mafia, Tanga, Bagamoyo, Tanganyika, Mwanza kisha katika majumuisho yake kuna watu wangeondoka kwanza na kesi mbalimbali za uhjumu uchumi zingefunguliwa.
Baada ya hapo angejenga hoja kwa wananchi wa chini kwanza, angeomba ushauri kutoka kwa wazee waadilifu, viongozi wa dini, wasomi, vijana, kisha angeunda timu bila kutaja majina yao kwenda duniani kufanya utafiti kisha wanamletea.
Angesoma mapendekezo ya wataalamu halafu anawahoji maswali wakishindwa kumshawishi kwa hoja za maziko na zinazokubaliika na wananchi angetupilia mbali mapema na kutangaza hadharani.
That is how he would handle na manage the situation related to the DP World scam/saga. He was a man of muscle flexing against all foreign exploitation of the country's permanent wealth and natural resources. He is actually a missive command for things to be visibly done and citizens appreciate his endeavors in their favor.
 
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
....wakati wa Mafuli Mkataba wa kipumbavu huu asingekubali....shida ya wapemba wanadhani wakimkirimu Mwarabu wanadhani mamkirimu mtume
 
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Ndugu hizo inge unaweza zipima.?
 
Back
Top Bottom