Tuwaze mrejereo: Hivi DP World ingeletwa na Magufuli ingepingwa?

Hivi huyo Magufuli unayefikiria kuwa angeweza kusaini mkataba wa ovyo kama huu ni Magufuli yupi kweli? Ni huyu huyu tunayemjua sote, au kuna mwingine?
Tatizo ni kwamba tunapozungumzia mkataba wa ovyo, nyie walamba asali mnafikiria DP World. Tatizo siyo Dp World, TATIZO NI MKATABA WA OVYO.
 
Hili limkataba kwa JPM lingekataliwa ofisini hata kabla halijafika kwa raia. 🤣
I see alot of spinning, kwamba, ingekuwa ni yeye, angelazimisha mradi huu. Hivi ni kweli alishawahi kulazimisha miradi yeyote ile? I know the guy was tough, but not to the extent of lettin his fellow Tanzanians reduced to a bunch of "Bumbuazis" kwa mradi huu wa Bandari. Tunafadhaishwa sana. Poleni sote.
 
Nguvu hii kwa nini haikutumika wakati dikteta la Chato lilipochafua uchaguI
Nguvu hii unayoiona ndio nguvu hiyo hiyo ya kupinga Ufisadi 2013,14,15. Wananchi walionyeshwa yanayowezekana, baada ya 2015, wananchi walipata Jasiri wa kuwaondoa wanyonyaji wa Nchi na sio Dikteta kama unavyotaka kulazimisha. Come 2020 ni hivyo hivyo.

Hivi hujiulizi kuwa kuna wengine waliouchafua uchaguzi?
Embu Weka repoti ya Kimataifa yeyote ile inayosema Uchaguzi ulichafuliwa?
 
Uuzwaji wa bandari kama mnavyodai, ni zao la ufisadi mkubwa alioufanya Dikteta lile. Waliopitisha jambo hili wote waliwekwa na shetani lile.
That's why tunasema kelele kubwa ilifaa ifanyike wakati shenzi lile linanajisi sanduku la kura.

Na ht sasa binafsi msimamo wangu ni kuona wapiga kelele hawa wangejikita kwenye katiba mpya kwa nguvu kama hii kuliko kuhangaika na bandari ambayo hakuna wanachoweza kubadili
Unawashutumu watu na Una udanganya umma na unadanganya mno mpaka unakinai kusomwa. Huku huko baada ya kuwashutumu (you are literaly begging) uungwe mkono na mambo ya Katiba.

Katiba ndio Inaongeza Ufanisi Bandarini?
 
Huko kudhani kwamba kila anayemkosoa na asiyemkubali rais Samia ni mgalatia ndio kunaziti kunifanya nitake kujua waislamu wanafaidika vp na urais wa Samia, maana inaonyesha kuna manufaa kwenye kwa waislamu hapa Tanzania kutoka kwenye urais wa Samia ndio maana inaonekana anayempinga rais Samia si muislamu.

Hilo nikuulize wewe,

Wakristo mnaathirika vipi na Uislam wa Samia kias kwamba Kila anachofanya mumtizame Kwa jicho la chuki kutokana na Imani yake?
 
Kwahiyo mkuu Samia yupo perfect hana makosa kwenye uongozi wake na ni waislamu tu ndio wanaona hivyo isipokuwa wakristo?

Wakristo hao hao kama PENGO na Slaa Kwa mfano enzi za Rais mkristo pamoja na mapungufu makubwa walikaa kimya,au uliwaskia wakiongea chochote??

Hujiulizi ni kwanin?na kwanini Leo kelele zao zimekuwa nyingi??

Tafakari.
 
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Kwani kwa Magufuli wangethubutu?
 
Kwani angekuwepo Nyerere angekubali national milling iuzwe? Kila zama na kitabu chake
 
Magufuli alikua mbabe lakini alikua na AKILI na pia alikua mzalendo.
Mtakumbuka alikua hawezi kuhudhuria mikutano Kama London expo au Burundi expo hata safari za nje alikua Hana.
Mwendazake alikua kichwa.
 
Huko kudhani kwamba kila anayemkosoa na asiyemkubali rais Samia ni mgalatia ndio kunaziti kunifanya nitake kujua waislamu wanafaidika vp na urais wa Samia, maana inaonyesha kuna manufaa kwenye kwa waislamu hapa Tanzania kutoka kwenye urais wa Samia ndio maana inaonekana anayempinga rais Samia si muislamu.
Waislam ushirikiana katika jambo lolote lile LIWE JEMA AMA OVU as long as limefanywa na muislam ni sahihi , na utakae pinga utaitwa mwenye chuki na Uislamu.
 
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Pamoja na ukatili woke lakini asingewaza hata kuikodisha ndo maana akanunua mitambo kwa kukopa WB
 
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Dp world walikuja 2013 wakafukuzwa mikataba yao haikuwa sawa sasa watafute wahusika 2013 wakueleze
 
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Unataka kusema nn? Kwamba Jiwe hajawahi pingwa?
 
Back
Top Bottom