Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kwa kweli najitahidi sana kumsaidia Mama na msaada wangu mkubwa zaidi ni kwenye ushauri kama ushauri huu Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje MwanamkeJitahidi sana tu.
Kwenye hili naomba nikupongeze sasa Dada yangu FaizaFoxy kwasababu wewe ni miongoni mwa members wachache humu wenye uwezo to read in between the lines, kwa kusoma maandishi, na kuijua kilichomo kwenye mawazo ya mwandishi, hii ni power kubwa sana na muhimu sana!.Nia na mawazo ya mtu hayajifichi kwenye maandiko,
Kitendo cha kuwa na power hii, kinaitwa possession, yaani you possess that power!. Possession of that powers is one thing, and using that power is another thing!. Kitendo cha ku posses powers fulani halafu kutozitumia, ni wasting such powers, ukiisha jitambua kuwa you possess such powers, the best thing to do ni kuzitumia, put them for a good use by impacting such powers kupitia maandiko hivyo you write very powerful pieces, mtu akisoma, kilichomo kwenye mawazo yako kinamuingia, hivyo kulisaidia taifa.
Wewe na kaka yako, Alamaa, ni watu very powerful. Nimekuwa nikosoma comments zako kuhusu Nyerere, Kikwete, Magufuli na sasa Samia, kuna trends nimeiona, kwa vile mengine ni ya kale sii ndwele, keep up the good job you are doing now kumsaidia Mama kwasababu...
Mwache apumzikesi lazima upinge wazi. Lini Nyerere aliwahi kuupinga Uislam wazi lakini vitendo vyake havikuwahi kuuficha ukweli.
P