THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Hivi mtanzania ambaye ni muislamu anafaidika vp na urais wa Samia hapa Tanzania au uislamu hapa Tanzania unafaidikaje na utawala wa Samia hivi sasa?
Nimekuwa nikijiuliza sana hiki kitu na kuona pengine kuna manufaa ama fursa ambazo sijazigundua.
Sasa swali hilo tuwaulize nyinyi wagalatia,uislam wa samia unawaathiri nini nyinyi kias kwamba mnaacha kumhuhukum kwa jicho la chama chake cha siasa ambacgo ni CCM na badala yake wengi mnaonekana kumuhukum kwa iman yake ambayo ni UISLAM??
Unaacha kuangalia rootcause unakimbilia kuangalia outcomes??