The Shah of Tanganyika
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 602
- 1,572
Kakutana na mwarabu mwenzake. Kwa wajomba sasa tutafanyeje tena wakati mama kaamua kuwagawia bure wajomba.Mwarabu asingethubutu kumsogelea magufuli, ndio maana kaja sasahivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakutana na mwarabu mwenzake. Kwa wajomba sasa tutafanyeje tena wakati mama kaamua kuwagawia bure wajomba.Mwarabu asingethubutu kumsogelea magufuli, ndio maana kaja sasahivi
Yule alikuwa Simba, tena mwenye Sharubu na sio paka.😂
Asingekubali haya. Na hivyo ndio kusema kusinge kuwepo na mjadala wa kupinga au kuunga mkono. Alishawahi kusema, msubiri akiondoka ndio mfanye ujinga_upuuzi. yaliyotokea ni Upuuzi.
Magufuli asingeweza kusaini huu ujinga ambao hauitaji kusoma Law ndio uuelewe👇Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Hapana. Tatizo ni Nini? Tatizo ni masharti yalipo kwenye mkataba, hata angekuwa Rais gan,angetuletea mkataba kama huu lazima tungepinga tu. Naomba hapa tusifanye comparison Magufuli na Samia. Issue ni mkataba mbovu katika zama za serikali hii ya SamiaSitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Wewe utakuwa upo kwenye siku zako...inamaana hausikiii ata midahalo inafanyika kila siku na Tunajadili nini?.Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Sasa kama bandari zote wamepewa Waarabu mbona hatuwaoni?
.
Wengine tunawangoja kwa hamu kubwa sana.
Jitahidi sana tu.
Nia na mawazo ya mtu hayajifichi kwenye maandiko, si lazima upinge wazi. Lini Nyerere aliwahi kuupinga Uislam wazi lakini vitendo vyake havikuwahi kuuficha ukweli.
Magu asingeweza kuleta mkataba kama huo asilan!Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Kwa taarifa yako Magufuli hakuwa mpumbavu katika kusaini mikataba inayohusu raslimali za taifa,Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Kuliko kuvunja mkataba kijinga na kulipa ma billion mpaka kujifilisi!Magufuli asingeweza kufanya jambo la kijinga hivyo
Sikuona tatizo kiivo Kwa sababu Aliyekua Anaongoza alikua ni mtu wa Mungu na Mwenye Akili kiwango cha juu.
Ndio maana licha ya Kua na Bunge hili, Bado Nchi ilikwenda vizuri!!.
Katika suala la Kulinda Mali asili za Nchi, Embu Tumpe Hayati JPM Maua yake