Tuwaze mrejereo: Hivi DP World ingeletwa na Magufuli ingepingwa?

Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Kwa Mkataba ule..kama wanavyotueleza Watalaam basi anko asingeleta hiyo kitu.
 
Magu hakuwa mtu wa kuuzavrasilimali za Nchi bali kuijenga, sasa ameondoka mjane anauza mali za mume maana hajui thamani yake amezikuta tu.
 
Hivi mtanzania ambaye ni muislamu anafaidika vp na urais wa Samia hapa Tanzania au uislamu hapa Tanzania unafaidikaje na utawala wa Samia hivi sasa?

Nimekuwa nikijiuliza sana hiki kitu na kuona pengine kuna manufaa ama fursa ambazo sijazigundua.
Uliponnukuu umeyakuta hayo unayyasema au unataka kuubadili mjadala? Fungua uzi tu.

Sisisi tunasema, Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Magufuli haya matope sijui mnaita IGA wala yasingefika hata ofisini mwake. Samia kakosea sana kuleta hivi vioja vyake. Bi hana Aya huyu wala huruma kama mama. Kagawa bure chungu cha mboga.
 
Magufuli tena alikuwa anatoa ushauri kuhusu hii mikataba ya kijinga wakiwepo wote waliopo sasa asingeruhusu hili kutokea.Hakuwa na kitu cha kuwapapatikia wazungu/waarabu na wengineo kama kitu hakieleweki aliwatimua
 
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Hivi mbona mnajaribu kujitoa akili? Ni kipindi gani Lissu alipigwa risasi kama si kipindi cha Magufuli? Mbona alipinga ripoti za kina Prof Mruma na Osoro kuhusu madini, vito na makinikia?
Mkataba na kampuni ya Wamisri kujenga Bwawa la Nyerere ulipingwa Kwa uwezo mdogo wa kampuni ambayo ilithibitika kugawa kazi Kwa mwingine.
Mifano ya Magufuli kupingwa iko mingi Ila mnajizima data tu.
 
Binafsi nadhani yawezekana ingekuwa hivyo ila sio kwa vipengele vya mkataba kama vilivyo hapo Magufuli asingekubali hatakidogo.

DPW si wabaya kibaya ni namna mkataba ulivyo.

Kumbuka sakata la bandari ya bagamoyo.

MKATABA..
 
Hivi mbona mnajaribu kujitoa akili? Ni kipindi gani Lissu alipigwa risasi kama si kipindi cha Magufuli? Mbona alipinga ripoti za kina Prof Mruma na Osoro kuhusu madini, vito na makinikia?
Mkataba na kampuni ya Wamisri kujenga Bwawa la Nyerere ulipingwa Kwa uwezo mdogo wa kampuni ambayo ilithibitika kugawa kazi Kwa mwingine.
Mifano ya Magufuli kupingwa iko mingi Ila mnajizima data tu.
Anajua Kabisa Sema akili tuuu...Elimu elimu Elimu
 
Jitahidi sana tu.

Nia na mawazo ya mtu hayajifichi kwenye maandiko, si lazima upinge wazi. Lini Nyerere aliwahi kuupinga Uislam wazi lakini vitendo vyake havikuwahi kuuficha ukweli.
Faiza unatakaJe na uislamu wako huu, ktk nchi ambayo watu wana dini mbalimbali ?!
Hapa wanajadili ingekuwaJe kama ni Maghufuli ndiye angeleta mkataba mbovu hivi . Wewe unakimbilia Ukristo mara Uislamu .

Nadhani dini ziache huko pembeni.
Tujadili kwanza hii favour kwa wajomba. Mbona inalazimishwa kwa mkataba wa hovyo ?! FaizaFoxy
 
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Shida aliyoleta Magufuli ni kuonesha kuwa Watanzania hatupaswi kuwa wanyonge kwenye ku-negotiate mikataba ya kimataifa!
Kigezo hiki kimewashinda viongozi wengi waliopita.

Viongozi waliopo na wanakuja wote watapimwa kwa kigezo hiki. Ndipo shida ulipo.
 
Faiza unatakaJe na uislamu wako huu, ktk nchi ambayo watu wana dini mbalimbali ?!
Hapa wanajadili ingekuwaJe kama ni Maghufuli ndiye angeleta mkataba mbovu hivi . Wewe unakimbilia Ukristo mara Uislamu .

Nadhani dini ziache huko pembeni.
Tujadili kwanza hii favour kwa wajomba. Mbona inalazimishwa kwa mkataba wa hovyo ?! FaizaFoxy

Mkuu

FaizaFoxy na udini ni kama ulimi na mate. Tumzoee tu!
 
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Huu ndio ukweli.
 
Uliponnukuu umeyakuta hayo unayyasema au unataka kuubadili mjadala? Fungua uzi tu.

Sisisi tunasema, Kazi ya Mungu haina makosa.
Mimi nimekuuliza tu wewe na swali langu najua lipo nje ya mada ila nimeona sana ukituhumiwa kwa udini kwamba unamkubali rais Samia kwa sababu ni muislamu na wewe pia umekuwa ukituhumu watu kuwa wanamchukia rais Samia kwa sababu ni rais ambaye muislamu, umekuwa hivyo kwa Kikwete pia ndio maana mie nimekuwa najiuliza kwamba waislamu wanafaidikaje na urais wa hawa marais waislamu.
 
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.

Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?

Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Rubbish
 
Back
Top Bottom