Tuwe makini Makanisa yalichangia mauaji ya kimbari Rwanda

Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Nakuapia Samia atoboi kwa sababu watanganyika wamesha mtambua ni nani na anatumikia wakina nani na yupo madarakani kwa maslai ya kina nani ..... Samia ni kibaraka wa waarabu na mabeberu na genge la Raia feki wanao jidai watanzania linalo ongozwa na jambazi na fisadi papa bwana Rostam azizi ...ukitaka kumjua Rostam azizi ni nani na anamipango gani na nini njama zake na nini malengo yake basi rudi nyuma hadi kwenye figisu za Rostam azizi na mzee mengi na mambo ya gesi .....miaka kuanzia ya 1996 ....
 
Tunaotoa tahadhari tu sihusiki kushinda au kushindwa kwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…