Tuwe makini Makanisa yalichangia mauaji ya kimbari Rwanda

Tuwe makini Makanisa yalichangia mauaji ya kimbari Rwanda

Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Kama kanisa lisingekuwa upande wa serikali historia isingeandikwa hivyo.Mfano mzuri leo ni Urusi ambapo kiongozi wa kanisa la orthodox anamsapoti Putin kwa vita yake Ukraine huku baadhi ya wananchi wakipinga .Hivyo ya Rwanda yasifananishwe na Tanzania kwa kuwa TEC inahimiza watu kuishi kwa haki.
 
Mauaji yqlipangwa na wanasiasa, makanisa yakaingia baadae,kwa, hapa bongo, tatizo, na ktisho ki kubwa kwa nchi ni ccm kuendelea kuwa, madarskani, ccm ni kama mafia, drug empire, hawana, tofauti na kama ilivtokuwa chama cha Baath cha sadam kule Iraq, au, Cha Bashar al Assad,
Hawa, kuwatoa, unahitaji, nguvu na watu kutoka nje, ccm mafiadom IPO kuanzia, jeshini, polisi, intelijensia, viongozi, wa, juu, wale wa, chini ni makenge tu wakutumwa kama ma mbwa!
Umeandika vizuri kabisa wazee wa imani waache uchochezi...
 
Shida udini unakusumbua angekuwa mkristo raisi mbona bakwata wapo kimya

BAKWATA ni taasisi inayouogopa mfumo, tutegemee waislamu ambao ni wachambuzi huru kama Mwaipopo et al
 
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Umeamua kutukana makanisa siyo. Nini maana ya mauaji ya kimbari? unajua maana ya kimbari wewe? au unajiandikia tu hili kutetea uovu wa CCM
 
Matajiri wakubwa ulimwenguni wote hawaja ajiriwa!
ndio mana tunasema ccm inaleta/kuendeleza umaskini Tanzania. Inapuuzia elimu ya kujiajili na kupanua wigo wa kilimo cha kisasa. Ilitakiwa iweke miundo mbinu ya kuvutia nguvu kazi mashambani badala ya sasa nguvu kazi inakimbilia mjini.
 
ndio mana tunasema ccm inaleta/kuendeleza umaskini Tanzania. Inapuuzia elimu ya kujiajili na kupanua wigo wa kilimo cha kisasa. Ilitakiwa iweke miundo mbinu ya kuutia nguvu kazi mashambani badala ya sasa nguvu kazi inakimbilia mjini.
Huwa wanaleta magari kusomba watu kupeleka mjini..
 
Alshabab , Boko haram , Janjaweed , Seleka , Al Ansar , ADF etc

Kwel maaskofu walichangia mauaji y kimbari pale Rwanda
 kwna
Mimi naelewa muoga kama weweutaishia kuandika kwenyr mtandao mapambano ya kweli huyawezi sasa ngonjera zako za no no no mimi nakuona unaimba tu..
Sheikh kwanin mna miliki makundi mengi ya kigaidi??
 

Attachments

  • Screenshot_20250421_165454_X.jpg
    Screenshot_20250421_165454_X.jpg
    265.3 KB · Views: 11
Sababu ya viongozi wa kanisa ni wachochezi
Psychopathic...

Alshabab , Boko Haram , Alnsar wanaua ndugu zetu wamakonde mpk leo huko Msumbiji , Adf wanaua wakongoman wasio na hatia , je hawa walichochewa na maaskofu?
 
Walichodai maaskofu ndicho walichofanya ccmu baada ya mbinu zote kufeli

Mtu kama ww ni dhahir kichwan huna akili na hukuwa unajuwa watu wanakosoa nini

Watu kama ww ndo mtaji wa ccmu

Watu walidai mkataba uwe na kikomo cha muda kitu ambachp ccmu walikuwa wanagoma yaani wanataka sain mkata usio na kikomo cha muda ( mikataba ya akina Mangungo ) ila baada ya kelel za ndani ya nchi n nje ya nchi ndipo ccmu wakaweka miaka 30 na mpumbav kama ww ambae ndo ungekuja kuwa muhanga namba moja bado unashangilia walichotaka kutufanyia ccmu ( kutuingiza utumwani bila ridhaa ya wengi )

Ccmu inanufaika na watu wajing kama ww , watu mnao abudu chama na sio sera bora kwa nchi
Walipiga kelele waraka makanisa yote nchi nzima wiki eti bandari imeuzwa! Kiko wp?
They are just like a Toothless Bulldog
 
Kwa hiyo mauwaji yanayofanyika kwa jina la ile dini ya "proud to be..." yanayofanyika hadi sasa huyaoni,
Mauwaji ya Rwanda yalikua ya kimbari na sio ya kidini soma historia vizuri.
 

Attachments

  • Screenshot_20250421_165454_X.jpg
    Screenshot_20250421_165454_X.jpg
    265.3 KB · Views: 15
Psychopathic...

Alshabab , Boko Haram , Alnsar wanaua ndugu zetu wamakonde mpk leo huko Msumbiji , Adf wanaua wakongoman wasio na hatia , je hawa walichochewa na maaskofu?
 

Attachments

  • Screenshot_20250421_165454_X.jpg
    Screenshot_20250421_165454_X.jpg
    265.3 KB · Views: 13
Walichodai maaskofu ndicho walichofanya ccmu baada ya mbinu zote kufeli

Mtu kama ww ni dhahir kichwan huna akili na hukuwa unajuwa watu wanakosoa nini

Watu kama ww ndo mtaji wa ccmu

Watu walidai mkataba uwe na kikomo cha muda kitu ambachp ccmu walikuwa wanagoma yaani wanataka sain mkata usio na kikomo cha muda ( mikataba ya akina Mangungo ) ila baada ya kelel za ndani ya nchi n nje ya nchi ndipo ccmu wakaweka miaka 30 na mpumbav kama ww ambae ndo ungekuja kuwa muhanga namba moja bado unashangilia walichotaka kutufanyia ccmu ( kutuingiza utumwani bila ridhaa ya wengi )

Ccmu inanufaika na watu wajing kama ww , watu mnao abudu chama na sio sera bora kwa nchi
Wewe ndo mjinga mkuu uliyeaminishwa na kanisa kuwa eti bandari imeuzwa. Mkasomeana makanisani kwenu waraka wenu wenyewe for 6 weeks mwisho wa siku kanisa halijawahi hata kutoa mrejesho ule waraka wenu uliishia wapi ila leo ndo wamekutuma uje utoe mrejesho. Mrejesho wenyewe kwa aibu wameona bora wakutime wewe fata mkumbo
 
Hiyo ilikuwa 1994,kwa sasa wanasiasa ndiyo wakuwa makini nao sababu mauaji na machafuko karibia kila mahali chanzo ni wao.
 
Back
Top Bottom