kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
- Thread starter
- #81
Nenda ofisi za takwimu kaulize!Wachache watu gani?Tanzania Ina wakristo wangapi?Waislam mko wangapi?
Nenda ofisi za takwimu kaulize!Wachache watu gani?Tanzania Ina wakristo wangapi?Waislam mko wangapi?
Na nchi sio ya viongozi tena wa dini fulani peke yakeUkweli lazima usemwe nchi sio ya kanisa!
Ukabila na udini zote ni sumu mbaya
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Pia tuwe makini na wanasiasa wanaongangania madarakani kwa ajili ya matumbo yao wakiubiri amaniKauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Serikali hailali!..Tuwe makini pia mauaji ya kimbari ya Rwanda yalipangwa na kutekelezwa na watawala waliokataa mabadiliko.
Serikali wapo makini kudhibiti wahuni wote na vibaka na wamekwisha anza!Pia tuwe makini na wanasiasa wanaongangania madarakani kwa ajili ya matumbo yao wakiubiri amani
Upo sawa....Na nchi sio ya viongozi tena wa dini fulani peke yake
Nafikiri tunatakiwa tuambiane tuwe makini na chawa wanaochochea ubaguzi na mgawanyiko katika taifa kwa manufaa ya wanaojiona ni wamiliki wa taifa na mifumo yake yote.Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
No reform no election......Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Zao wakina nani!?No reform no election......
Peleka cinema za vita ukatishe wadanganyika...ndio zenu hizooo
Hata useme neno Gani, nakwambia Samia Suruhu Hassan hapiti uchaguzi huu.Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Je,wewe unadhani anachokisema hayuko sahihi ila wewe ndiyo uko sahihi?Shida udini unakusumbua angekuwa mkristo raisi mbona bakwata wapo kimya
Ujinga wake nini sasa au kusema ukweli??Acha kuleta mada za kijinga
Upo sawa lakini...Hata useme neno Gani, nakwambia Samia Suruhu Hassan hapiti uchaguzi huu.
Kajitundike we mbwa koko hakuna mtanzania atakayekufa kwa upumbavu wenuKama kudai tume huru na haki kwa raia wa nchi kutaketa mauaji ya kimbari Mimi nipo tayari na kama utazuia haki na democrasia ya kweli mi nitakunyosha wewe wa kwanza kabisa. Kanisa lisimamie haki tukiuana ni sisi
Umemaliza mkuu...Kajitundike we mbwa koko hakuna mtanzania atakayekufa kwa upumbavu wenu
We bwege huyo mama labda wa kwako. Unafikiri kwa makalio au? Nani wa kumzuia Samia uchaguzi huu? Ht wehu hawawezi kukuelewa. Ishindi wake utaanzia 90%. Siyo hivyo tu ht 2030 atamweka mtu wake mjiharishe zaidi.Nakuapia Samia atoboi kwa sababu watanganyika wamesha mtambua ni nani na anatumikia wakina nani na yupo madarakani kwa maslai ya kina nani ..... Samia ni kibaraka wa waarabu na mabeberu na genge la Raia feki wanao jidai watanzania linalo ongozwa na jambazi na fisadi papa bwana Rostam azizi ...ukitaka kumjua Rostam azizi ni nani na anamipango gani na nini njama zake na nini malengo yake basi rudi nyuma hadi kwenye figisu za Rostam azizi na mzee mengi na mambo ya gesi .....miaka kuanzia ya 1996 ....