Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 8,072
- 8,942
Lebanon, Bosnia, Indonesia, Pakistan, Libya na Algeria
Waambie hawa maana Rwanda ilikuwa ni ukabila. Sio udini.
Ila huko kwenye hizo nchi, wanachinjana kama hawamjui Mwenyezi Mungu
Lebanon, Bosnia, Indonesia, Pakistan, Libya na Algeria
Ila chawa tena wa chama twawala hivi sasa wanachochea ubaguzi ili kubakia madarakani bila kujali nini kitafuatia baada ya migawanyiko na ubaguzi wanaopalilia?Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Kwa hiyo tukabali kuibiwa kura za waziwazi na watawala ambao hawataki kutoka madarakani au tuwafywate Wachungaji wanaotaka haki itendeke katika kuchagua Viongozi?Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Haki ipi waliyonyimwa kusimama mbele ya mic na kutoa maoni yao ya kipuuzi pia ni haki kipindi cha Magu na mkapa nyerere hatukuwasikia!Kwa hiyo tukabali kuibiwa kura za waziwazi na watawala ambao hawataki kutoka madarakani au tuwafywate Wachungaji wanaotaka haki itendeke katika kuchagua Viongozi?
Huo ukabila ulichagizwa na maaskofu toka kanisani!Waambie hawa maana Rwanda ilikuwa ni ukabila. Sio udini.
Ila huko kwenye hizo nchi, wanachinjana kama hawamjui Mwenyezi Mungu
Mkiambiwa ukweli ndo mnajifanya kuongelea mauaji, acheni ujingaKauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Huo ukabila ulichagizwa na maaskofu toka kanisani!
Stori za kwenye vijiwe vya kahawa..na madrasa..bwashee..unazileta jamiiforums.Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Kumbe uliwahi sikia...Stori za kwenye vijiwe vya kahawa..na madrasa..bwashee..unazileta jamiiforums.
Ukweli lazima usemwe nchi sio ya kanisa!😂😂😂😂😂.....kuhamisha magnolia...kama kawaida.
Unafiki una gharama sana. Endeleeni nao. Kila mtu atavuna anachopanda
Wahuni wachache wenye nia mbaya hawawezi pewa nafasi ya kutuvuruga lazima wadhibitiwe!View attachment 3310955
Ndio kanisa linaweza kuleta machafuko ila ni rahisi sana kutokea machafuko kwenye nchi ambayo polisi badala ya kulinda usalama wa mali na raia wanageuka kuwa walinzi wa wa CCM na maslahi yao.
Huku nako kaburu wa kike anaita katiba ni kitabu tu , hivyo kwake katiba ni kama majarida ya udaku hivyo haoni umuhimu wake.
Ni wakati muafaka wa reforms na tupate katiba mpya itakayotuondelea mambo ya hovyo yasijirudie kama tulivyoona kwa mtangulizi wake na sasa kwake mwenyewe.
Tunataamani sana Jambo hili.Kanisa lituungozi kufikia hili.Samia na CCM Kama wewe tunaanza naye .Polisi wenu pamoja wenu pamoja na kuwa failure promox Kanisa likiamua hamtaweza.Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Wachache watu gani?Tanzania Ina wakristo wangapi?Waislam mko wangapi?Wahuni wachache wenye nia mbaya hawawezi pewa nafasi ya kutuvuruga lazima wadhibitiwe!
Kama kukemea uhuni huu ni kuchangia mauaji ni bora iwe hivyoKauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Ukabila na udini zote ni sumu mbayaWaambie hawa maana Rwanda ilikuwa ni ukabila. Sio udini.
Ila huko kwenye hizo nchi, wanachinjana kama hawamjui Mwenyezi Mungu
Iweje sasa!Kama kukemea uhuni huu ni kuchangia mauaji ni bora iwe hivyo