Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Nani anaweza kuwabana? We ni zombie tuCCM mna hoja nyepesi na za giza.........ila mmebanwa ni vile basi tu wananchi hawajaamka vya kutosha.Siasa za kipumbavu ndo zilusababisha hayo yote.
Nani anaweza kuwabana? We ni zombie tuCCM mna hoja nyepesi na za giza.........ila mmebanwa ni vile basi tu wananchi hawajaamka vya kutosha.Siasa za kipumbavu ndo zilusababisha hayo yote.
Takataka mamako aliyetuzalia uozo😂😂😂takataka na ng'ombe wa samia ....mnaleta upuuzi nyakati za mapambazuko... Hizi story za Miaka ya 90 bado mnaleta hapa.
Frustration must be silently killing you!Nani anaweza kuwabana? We ni zombie tu
Kwani wao hawana haki ya kuzunguza,hii nchi ni yetu wote,shida walaji wachache.Ujinga wake nini sasa au kusema ukweli??
Mpango wa samia siyo kushinda uchaguzi bali kujitangaza mshindi..samia awezi kushinda uchaguzi hata chembe kama kakataa uchaguzi ndani ya chama chake mwenyewe na kutengeneza figisu ili awemgombea unategemea uma unamkubaliWe bwege huyo mama labda wa kwako. Unafikiri kwa makalio au? Nani wa kumzuia Samia uchaguzi huu? Ht wehu hawawezi kukuelewa. Ishindi wake utaanzia 90%. Siyo hivyo tu ht 2030 atamweka mtu wake mjiharishe zaidi.
Umekariri!Mpango wa samia siyo kushinda uchaguzi bali kujitangaza mshindi..samia awezi kushinda uchaguzi hata chembe kama kakataa uchaguzi ndani ya chama chake mwenyewe na kutengeneza figisu ili awemgombea unategemea uma unamkubali
Rudi ukasome upya!Akili zenu zinaishia Rwanda?? Huko somalia misikiti haichochei vita? Nigeria vipi?
Acheni upuuzi Rwanda ukabila ndiyo tatizo lilipoanzia
Upo sawa....
Kua Makini Ni Kutenda HAKI.
Bila kutenda HAKI, Inaweza isiwe leo, au Kesho Kuna siku Amani itakua inatafutwa sana
Nchi huru..uhuru wa maoni tuendelee kuilinda amani tusiwape nafasi wahuni wachache wasitumie majukwaa ya nyumba xa ibada kuhamasisha mambo ya hovyo!Watanzania wote wana haki milking. Nashangaa watu wachache wanapochukua maamuzi ambayo Watanzania wengine wakiuliza wanasingizia udini.
Udini imekuwa kivuli cha watu waliofilisika kifikra. Udini ndio msingi wa watu wababaishaji wasiojua dhamana ya kuwa viongozi.
Wanajipa madaraka ambayo hata hawana 😂😂😂😂
This time ni CCMKauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
One million Rwandans died in 100 days while many Catholic priests and nuns stood by offering no assistance. Others participated in the slaughter. RC ni kanisa ovu duniani kote, halafu wanajifanya ni champions wa democracyKauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
kanisa katoliki limepoa tu lina dominate ukristo kwa takriban miaka 2,000 sasa ukishaanza kua against kanisa katoliki ujue ndo mwisho wako ccm imeanza kufikia mwisho wakeSio makanisa yote, sema kanisa la Roman Katoliki
Naona kipenyeo kimekuwasha soon kitatoa maji😂Takataka mamako aliyetuzalia uozo
Wafumbua waliopo kwenye usingizi wa pono!One million Rwandans died in 100 days while many Catholic priests and nuns stood by offering no assistance. Others participated in the slaughter. RC ni kanisa ovu duniani kote, halafu wanajifanya ni champions wa democracy