Tuwe makini Makanisa yalichangia mauaji ya kimbari Rwanda

Tuwe makini Makanisa yalichangia mauaji ya kimbari Rwanda

Maaskofu wastaarabu akina nani?
Hofu ni ku entertain yale mambo yaliyosababisha mauaji Rwanda sheikh
Alshabab , Boko haram , Janjaweed , Seleka , Al Ansar , ADF etc

Kwel maaskofu walichangia mauaji y kimbari pale Rwanda
 
Haki ipi waliyonyimwa kusimama mbele ya mic na kutoa maoni yao ya kipuuzi pia ni haki kipindi cha Magu na mkapa nyerere hatukuwasikia!
Samia hatoi haki , haki inatolewa na sheria za nchi ila Samia anadhurumu haki
Samia anataman hata hiyo haki ndogo iliyobakia aichukue
 
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Hata vyama na dini zinazovishabikia kama mashehe na samiiia na utekaji wa kimbari nchini
 
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Mauaji yqlipangwa na wanasiasa, makanisa yakaingia baadae,kwa, hapa bongo, tatizo, na ktisho ki kubwa kwa nchi ni ccm kuendelea kuwa, madarskani, ccm ni kama mafia, drug empire, hawana, tofauti na kama ilivtokuwa chama cha Baath cha sadam kule Iraq, au, Cha Bashar al Assad,
Hawa, kuwatoa, unahitaji, nguvu na watu kutoka nje, ccm mafiadom IPO kuanzia, jeshini, polisi, intelijensia, viongozi, wa, juu, wale wa, chini ni makenge tu wakutumwa kama ma mbwa!
 
Nakuapia Samia atoboi kwa sababu watanganyika wamesha mtambua ni nani na anatumikia wakina nani na yupo madarakani kwa maslai ya kina nani ..... Samia ni kibaraka wa waarabu na mabeberu na genge la Raia feki wanao jidai watanzania linalo ongozwa na jambazi na fisadi papa bwana Rostam azizi ...ukitaka kumjua Rostam azizi ni nani na anamipango gani na nini njama zake na nini malengo yake basi rudi nyuma hadi kwenye figisu za Rostam azizi na mzee mengi na mambo ya gesi .....miaka kuanzia ya 1996 ....
Kwa hiyp mkapa alikuwa kibaraka wa kanisa ndo maana akakabidh migodi kwa wakristo barack buree na nyerere aliweka maslah ya wakatolic mbele thus y wananguvu saana since alipokua rais
 
Kwa hiyp mkapa alikuwa kibaraka wa kanisa ndo maana akakabidh migodi kwa wakristo barack buree na nyerere aliweka maslah ya wakatolic mbele thus y wananguvu saana since alipokua rais
Weee ni mpumbavu wa akili migodi yote duniani asilimia 90% enzi za mkapa makampuni ni ya mabeberu hakuna wawekezaji waliokuwa waislamu mengi wenye makampuni ya uwekezaji wa madini ila hata sasa makampuni ni yawa wakristo ...alivye ondoa azimio la arusha ni mzee mwinyi hivyo kusababisha mabeberu na waarabu kuruhusiwa kuwekeza ....kuhusu wakatoliki kwani wakristo wa tanzania wote ni wakatoliki ? Je wakatoliki kama walipendelewa ni wakatoliki watz au wakatoliki waarabu na mabeberu ? Kama ni watz hskuna shida maana ni wenzetu bado samia angetoa bandari kwa wawekezaji wa tanzania ila ikawa ni waislamu au muislamu watanzania wasinge chukia sana ...wamasai wangeondolewa kwa maslai ya watanzania tusinge mlaani samia na mzee mwinyi kwenye ilo ...tatizo lako wewe ujui maana ya UZALENDO WAISLAM7 WANAFANYA MAMBO DHIDI YA UZALENDO NYERERE NA JMP AWAJAWAI KUFANYA MAMBO KINYUME NA UZALENDO HATA KAMA WALIKOSEA NI NDANI YA UZALENDO ...Sasa tumtizame Jpm kajenga bwawa la umeme na kutimua mafizadi ya umeme waliolhetwa na kikwete kufanya ufisadi wa kitaifa ambao ulikuwa unaumiza watanzania wote waislamu na wasio waislam kaja samia anataka kununua umeme wa kifisadi kutoka Ethiopia kwa sababu ya rushwa waliyo ongwa sasa hapo UZALENDO upo wapi ...Jpm kashusha bei ya kuunga umeme ili watanzania wengi wapate umeme kaja huyu mpumbavu kapandisha bei kwa maslai ya wahuni wachache kinyume na UZALENDO Jpm kaleta elimu bure kaja huyu mpumbavu wa msikitini kafuta kwa maslai ya wahuni wachache.....
Ukitska kujua kwanini marais wakristo ni bora kuliko waislamu kipimo ni UZALENDO HIVYO JIFUNZE UZALENDO NI NINI KISHA WAPIME MARAIS WOTE KWA HICHO KIPIMO KABLA YA LAWAMA....
 
mambo ya Rwanda yanaujanjajabja mwingi...waasil wanajitakasa..kwa hiyo unataka kutwambia Watutsi walifika Kigali kwa mapambio?
 
Yameshatokea..ndio maana hatutakii yajirudie hapa kwetu..
Unaweza kuyataja maneno yakichochezi yaliyo tamkwa na kanisa hapa?.

Hoja ya reform ni mjinga tu, na wenye akili wanao jitoa ufahamu kama wewe ndio wanao jifanya hawaelewi kwanini reform inahitajika katika tume yetu ya uchaguzi.



Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuyataja maneno yakichochezi yaliyo tamkwa na kanisa hapa?.

Hoja ya reform ni mjinga tu, na wenye akili wanao jitoa ufahamu kama wewe ndio wanao jifanya hawaelewi kwanini reform inahitajika katika tume yetu ya uchaguzi.



Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mimi naelewa muoga kama weweutaishia kuandika kwenyr mtandao mapambano ya kweli huyawezi sasa ngonjera zako za no no no mimi nakuona unaimba tu..
 
Back
Top Bottom