Tuwe Makini mwisho wa mwaka - madukani Vyakula na vinywaji wanauza vilivyokwaisha Muda (Expired)

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
331
Reaction score
416
Nimekutana na juisi za Zambia zinazouzwa Tanzania hususani Mbeya na Songwe wanauza zilizoexpire. Pia biscuits hasa za nje chocolate zimeisha Muda lakini zinauzwa tu! Wenye mamlaka sijui wako wako wapi Watanzania tunalishwa sumu
 

Attachments

  • IMG_20231221_123053_098.jpg
    907.1 KB · Views: 3
Upo sahihi Mkuu.

NI JUKUMU LAKO KUKAGUA EXPIRE DATE.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ni Jukumu la Serikali kumlinda mlaji asilishwe sumu na bidhaa zilizopita muda wake.

Sema kwa hii Nchi yetu inajiendea bora kukuche hawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…