Tuwe makini na manabii/mitume wanaotaka fedha wakuombee

Tuwe makini na manabii/mitume wanaotaka fedha wakuombee

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Shalom,

Kumezuka watumishi wa Mungu wanaotumia vibaya redio zetu badala ya kutoa neno la Mungu na kufanya maombi sasa kama utaahitaji maombi wanakulazimisha njoo ofisini aka kanssan asubuhi mapema tukuombee.

Style wanayotumia ni hii
Wanapokamata redio wanaanza andika msg, kwenda namba. Hizi msg baadae hupigiwa na kuambiwa uje kanisani mapema na sadaka kiasi fulani.

Njia ya pili
Wana kipindi cha watu kupiga simu, hapa ndipo wananchi wanakuwa wamelogwa unasikia unaitwa Shemdoe Mwakyasindile, anajibu mtu ndio ushawahi kuonana na mimi unasikia hapana. Una tatizzo la ndoa /uchumi/kulogwa hizi ndo mada muhimu.

Sasa anapoongea na simu we mgeni unashangaa amejuaje jina lake na mzazi, amejuaje ana shida ya ndoa ama uchumi na hivi punde wamekuja na nguvu za kiume na kwa mwanamke shida ya uzazi.

Mwisho utasikia anamwambia mpiga simu wahi mapema asbh shuka kituo piga simu kule hamna bure wala usipoteze mda ukifika kama huna mzigo unarudi ulipotoka.

Kifupi tumwamini Mungu wapendwa tusome neno hakuna maombi yanayohitaji pesa unapobarikiwa amaa kufanikiwa ruksa kutoa shukrani na sio kulazimisha watu watoe pesa muombewe.

Mtwakwisha wanaongeza magari majumba yao na maviwanja mnaishia kuwa masikini.

As salaam aleikum
 
Sahihi, tena siku hizi wamekuwa wengi kweli tena wa dini zote.
Yaani rediooo zimekuwa sio tena za taarifa ukifunguu tu wamo ukizima wamo washa usiku wa manane wanavyosema andika neno. Tuma kwenda wengi wanahisi wanaombewa we wanapigiwa baadae na mnaambiwa kabisa njoo na kiasi fulani, waajinga wanajazana.
 
Yaani jana kuna mmoja kasikiitisha saaanaaaaaaa. Katoa mda watu wapige waseme shida zaa kapiga mdada mmoja kajitambulisha gafla akammwambia njoo mapema kesho kanisani akajibu m n mfanyakazi wa nyumban siwezi kutoka aisee alimjibu kata simu ndio maana hata sikuwa na maono ya kukutabiria, kisa hana mda kuwafata huko makanisan mwao, so nikajua kumbeeee wale wanaojipendekeza kuja ndio wanatakiwaaa kuombewa aisee. EEE MWENYEZI MUNGU UTUTSAIDIE
 
Back
Top Bottom