Tuwe makini na pombe, zinaua

Bora pumziko la milele kuliko mahangaiko na maumivu yasiyoisha mwache mwamba apumzike Kwa Amani.
Jamaa last time nilikutana nae anachoma Mbuzi kwa ajili ya Mwaka mpya kumbe ndio ilikua anafanya sherehe yake ya mwisho kuishi duniani baada ya Mwaka mpya siku ya pili alilamba udongo moja kwa moja mpaka leo amepiga usingizi wa moja kwa moja sasa hivi mchwa watakua wameshamaliza kazi yao
 
Kuna mwamba alikuwa anaitwa Tumaini,
Mshkaji sana alikuwa police, na yeye alivuta na yeye, pombe kali + ulcers, ana mwezi tu sasa toka arudishe mpira kwa Mungu.

Ukiwa na ulcers pombe kali ni ticket yako ya akhera.
Hata hivyo tusiogope kutangulia, tuyatwange mapombe, kufa kupo tu wakuu
 
Funza ndo wanatusubiri kwa tunaozikana. Wale wanaochomana hili haliwahusu.
 
Too much of anything is harmful pombe ni kama dawa tu ukinywa bila kiasi inakua sumu... ikiwezekana acha kabisa...imagine mtu yupo kwenye 20'S anakunywa pombe kama maji huyu mtu akifika 50+ atakua na hali gani
Kabisa, lakini kuna hatua inafika unatamani kuacha uwe kama watu wengine ila unashindwa
hili ni pepo
 
Ukiweza acha kabisa,tutakupoteza very soon,hiyo hatua uliofikia kinachofuata iko siku utatapika damu au kupata choo chenye damu kitu ambacho ni hatari sana...
Mkuu mpaka naandika haya yaani nimeshaingiwa uwoga kuacha kabisa ndo lengo, ila naanza kwa kupunguza na kuvikataa vijiwe kabisa
 
du!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…