Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora pumziko la milele kuliko mahangaiko na maumivu yasiyoisha mwache mwamba apumzike Kwa Amani.Kuna jamaa alifariki Mwaka Jana Mwezi wa kwanza kisa visungura, sasa hivi ametulia zake kwenye udongo amepiga usingizi mrefu sana anakoroma huku anakula udongo na kuliwa na mchwa
hapa haponi mtuKunywa pombe hapa Bongo ni hatari. Unaambiwa baadhi ya ingredients wanazotumia ni pamoja na maji ya betri na dawa za kuulia wadudu. Hapo kuna figo na ini litakalosalimika kweli?
View attachment 2868102View attachment 2868103View attachment 2868104View attachment 2868105View attachment 2868106View attachment 2868107View attachment 2868108View attachment 2868109
Jamaa last time nilikutana nae anachoma Mbuzi kwa ajili ya Mwaka mpya kumbe ndio ilikua anafanya sherehe yake ya mwisho kuishi duniani baada ya Mwaka mpya siku ya pili alilamba udongo moja kwa moja mpaka leo amepiga usingizi wa moja kwa moja sasa hivi mchwa watakua wameshamaliza kazi yaoBora pumziko la milele kuliko mahangaiko na maumivu yasiyoisha mwache mwamba apumzike Kwa Amani.
ni kweli kabisa inatoa hamu ya kula yaani unataka unywe tu chakula unakiona kama maviUnadhani wasiokula hawana fedha ya chakula??
Wengine pombe imewapotezea hamu ya kula, akiletewa msosi na pombe anachagua pombe.
Kuna mwamba alikuwa anaitwa Tumaini,Wasaalam, mnamo mwaka jana X Mass nilikunywa sana mpaka ikanipelekea kupata ulcers hivyo 25/12 na 1/1 ziinikuta kitandani naugumia maumivu nikajiapiza naachana na mipombe kali. Lakini nilivyopata nafuuu nikarudi tena.
Mwaka huu juzi 25/12 na 1/1 nazenyewe nimezilia kitandani the same case kama mwaka uliopita lakini nilipopata nafuuu nikaendelea tena.
Ila kilichonitisha juzi kati kaja balozi wa mtaa anachangisha rambirambi, nikatoa ila sikumuuliza chanzo cha kifo baadae niko kijiweni ndo washikaji wanasema huyu mtu alikufa kwa sababu ya pombe kali hawajamalizia hiyo story napewa taarifa mshikaji kuna mwingine tena huyu nimewahi kunywa nae mtaani kwangu kwa zamani naambiwa na yeye amekata moto kwa sababu ya vikali. Wakuu nimeogopa yaani bapa lote nilokunywa lilikata.
Kwa moyo wa dhati mi nimeamua kupunguza hii mikali japo bia siziwezi ila napunguza hii mikali taifa bado linanitegemea.
Na nyie nawaasa kama unapenda mikali hakikisha unakula vizuri japo hata huyo aliyekata moto alikuwa vizuri kiuchumi na hela ya kula hawezi kosa lakini ndo hivyo tena.
Funza ndo wanatusubiri kwa tunaozikana. Wale wanaochomana hili haliwahusu.Jamaa last time nilikutana nae anachoma Mbuzi kwa ajili ya Mwaka mpya kumbe ndio ilikua anafanya sherehe yake ya mwisho kuishi duniani baada ya Mwaka mpya siku ya pili alilamba udongo moja kwa moja mpaka leo amepiga usingizi wa moja kwa moja sasa hivi mchwa watakua wameshamaliza kazi yao
hakikaKila kitu ni lazima kiwe na kiasi. Hata fanta nenda kanywe chupa tano kila siku mwenyewe uone kama hutakufa.
mungu atusaidie aseeMimi pia Kuna ndugu yetu alifariki sababu ya unywaji pombe na alikua bado kijana mdogo
Kabisa, lakini kuna hatua inafika unatamani kuacha uwe kama watu wengine ila unashindwaToo much of anything is harmful pombe ni kama dawa tu ukinywa bila kiasi inakua sumu... ikiwezekana acha kabisa...imagine mtu yupo kwenye 20'S anakunywa pombe kama maji huyu mtu akifika 50+ atakua na hali gani
Mkuu mpaka naandika haya yaani nimeshaingiwa uwoga kuacha kabisa ndo lengo, ila naanza kwa kupunguza na kuvikataa vijiwe kabisaUkiweza acha kabisa,tutakupoteza very soon,hiyo hatua uliofikia kinachofuata iko siku utatapika damu au kupata choo chenye damu kitu ambacho ni hatari sana...
saa zingine sababu tunazitafuta sisi wenyeweHakuna kifo kisichokuwa na sababu.
du!!!Wasaalam, mnamo mwaka jana X Mass nilikunywa sana mpaka ikanipelekea kupata ulcers hivyo 25/12 na 1/1 ziinikuta kitandani naugumia maumivu nikajiapiza naachana na mipombe kali. Lakini nilivyopata nafuuu nikarudi tena.
Mwaka huu juzi 25/12 na 1/1 nazenyewe nimezilia kitandani the same case kama mwaka uliopita lakini nilipopata nafuuu nikaendelea tena.
Ila kilichonitisha juzi kati kaja balozi wa mtaa anachangisha rambirambi, nikatoa ila sikumuuliza chanzo cha kifo baadae niko kijiweni ndo washikaji wanasema huyu mtu alikufa kwa sababu ya pombe kali hawajamalizia hiyo story napewa taarifa mshikaji kuna mwingine tena huyu nimewahi kunywa nae mtaani kwangu kwa zamani naambiwa na yeye amekata moto kwa sababu ya vikali. Wakuu nimeogopa yaani bapa lote nilokunywa lilikata.
Kwa moyo wa dhati mi nimeamua kupunguza hii mikali japo bia siziwezi ila napunguza hii mikali taifa bado linanitegemea.
Na nyie nawaasa kama unapenda mikali hakikisha unakula vizuri japo hata huyo aliyekata moto alikuwa vizuri kiuchumi na hela ya kula hawezi kosa lakini ndo hivyo tena.
Vinywaji vingi havina ubora na viwango sahihi. Ni hatari sana kwa afya za watumiaji.Hili linawezekana kabisa....
Huyo aliyeanza at 20's hatoboi 30's achilia mbali 50'sToo much of anything is harmful pombe ni kama dawa tu ukinywa bila kiasi inakua sumu... ikiwezekana acha kabisa...imagine mtu yupo kwenye 20'S anakunywa pombe kama maji huyu mtu akifika 50+ atakua na hali gani