cha kwanza
Senior Member
- Nov 10, 2018
- 179
- 163
choo chenye damu inamanisha nini mkuuUkiweza acha kabisa,tutakupoteza very soon,hiyo hatua uliofikia kinachofuata iko siku utatapika damu au kupata choo chenye damu kitu ambacho ni hatari sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
choo chenye damu inamanisha nini mkuuUkiweza acha kabisa,tutakupoteza very soon,hiyo hatua uliofikia kinachofuata iko siku utatapika damu au kupata choo chenye damu kitu ambacho ni hatari sana...
Very badUkiweza acha kabisa,tutakupoteza very soon,hiyo hatua uliofikia kinachofuata iko siku utatapika damu au kupata choo chenye damu kitu ambacho ni hatari sana...
Hii ni kama sumu... Ukinywa itakusaga utatapika damuchoo chenye damu inamanisha nini mkuu
Gongo ya vijijini ni salama kuliko gongo hizi za kisasa. Gongo za kisasa nyingi zimeundwa na wahuni vichochoroni. Ukiona label ya Hennesy unajua bonge la gongo kumbe sumu.Mimi swala la pombe zinazotengenezwa hazina viwango siliafiki sana,ninachojua mimi itakuwa ni unywaji wa hizi pombe kwa kupitiliza.Nilikaa vijijini kipindi flani watu wanakunywa gongo daily mpk usiku mnene ,lakini sikuwahi kusikia wana matatizo tunayopata huku mijini,tena nakumbuka kuna hata vizee unakuta kina miaka 70+ lakini pombe yake kuu ni gongo,sasa sijui hizi pombe za viwandani zina kitu gani cha ziada mpaka watu wanaumia hivi...
Ni kuomba Mungu tu aondoe hiyo addictionKabisa, lakini kuna hatua inafika unatamani kuacha uwe kama watu wengine ila unashindwa
hili ni pepo
Kuna siku nilikunywa Pepsi mbili Kwa mpigo aisee nilijskia vibaya sana Io siku ndo nikajua hata soda Ina limitKila kitu ni lazima kiwe na kiasi. Hata fanta nenda kanywe chupa tano kila siku mwenyewe uone kama hutakufa.
Taifa halikutegemei, bali wewe ndiye unayelitegemea.Wasaalam, mnamo mwaka jana X Mass nilikunywa sana mpaka ikanipelekea kupata ulcers hivyo 25/12 na 1/1 ziinikuta kitandani naugumia maumivu nikajiapiza naachana na mipombe kali. Lakini nilivyopata nafuuu nikarudi tena.
Mwaka huu juzi 25/12 na 1/1 nazenyewe nimezilia kitandani the same case kama mwaka uliopita lakini nilipopata nafuuu nikaendelea tena.
Ila kilichonitisha juzi kati kaja balozi wa mtaa anachangisha rambirambi, nikatoa ila sikumuuliza chanzo cha kifo baadae niko kijiweni ndo washikaji wanasema huyu mtu alikufa kwa sababu ya pombe kali hawajamalizia hiyo story napewa taarifa mshikaji kuna mwingine tena huyu nimewahi kunywa nae mtaani kwangu kwa zamani naambiwa na yeye amekata moto kwa sababu ya vikali. Wakuu nimeogopa yaani bapa lote nilokunywa lilikata.
Kwa moyo wa dhati mi nimeamua kupunguza hii mikali japo bia siziwezi ila napunguza hii mikali taifa bado linanitegemea.
Na nyie nawaasa kama unapenda mikali hakikisha unakula vizuri japo hata huyo aliyekata moto alikuwa vizuri kiuchumi na hela ya kula hawezi kosa lakini ndo hivyo tena.
Kabisa mkuu.Kuna siku nilikunywa Pepsi mbili Kwa mpigo aisee nilijskia vibaya sana Io siku ndo nikajua hata soda Ina limit
...'Mjane mnono sana'.Jamaa yangu alitapika damu kwenda hospital ni vidonda vikali vya tumbo!
Akaapa kwamba anacha pombe kali😂😂😂 ndo kaongeza mwendo...
Chakula anakula kwenye vibakuli!!
Dokta jirani tumemsafirisha mwezi uliopita kwenda huko Kanda ya kati,pombe kali ilimtoa uhai. Kaacha watoto na mjane mnono sana
Na siku ya kuzika wakimaliza walevi lazima wakamuenzi mlevi mwenzao kwa kuyatwanga mapombeUzuri amekufa kwa pombe hajajinyonga Wala. Nn Ni pombe tu hvyo atazikwa kwa heshima zote
Heshimu pombe were[emoji23][emoji23]
Pole yao sana...
Ikifikia hii stage ndio basi tena, hachukui muda bila kwenda kwa mungu baba mwenyeziUkiweza acha kabisa,tutakupoteza very soon,hiyo hatua uliofikia kinachofuata iko siku utatapika damu au kupata choo chenye damu kitu ambacho ni hatari sana...
Mkuu ninaposema hivyo simaanishi bila mimi Taifa halisongi bali linaweza kunitumia katika nyanja tofautiTaifa halikutegemei, bali wewe ndiye unayelitegemea.
Kiuhalisia wanaokutegemea wewe ni wale wanaopata riziki kutoka kwako, yaani mkeo, watoto ima wazazi wako.
Maneno hayo ya kutegemewa na taifa, tukiwa vijana yalitutia viburi vya kijinga sana.
Lakini kiuhalisia taifa ndiyo tunalolitegemea, sababu ukifa ama kufukuzwa kazi hata leo, taifa haliwezi kujua kuwa lina msiba ama limepungukiwa na kitu.
Sawa nyie wanywa juice za miwa mtatoboa mpaka 90sHuyo aliyeanza at 20's hatoboi 30's achilia mbali 50's