Tuwe makini na sakata la Gwajima, huenda ni Move ya CCM ili atoke aende ACT akagombee Uraisi, kumbuka ya Membe

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,532
Reaction score
14,164
Huenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana.

Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na kukimbilia ACT Wazalendo kule atapokelewa na atakuwa mgombea Uraisi wao uchaguzi ujao.

Lengo hapa ni kutengeneza mvuto kwenye uchaguzi huu, na raia waaminishwe kuna mpinzani wa kweli sasa wa kupambana na Samia kwenye uchaguzi.

Tuvute muda ila mimi naamini kuna move inatengenezwa na baada ya hapo arudi zake CCM kuendelea na maiasha yake, ni kama Sakata la Membe ambaye CCM walimuandaa akagombee ACT na baadae arudi CCM.

Gwajima anaweza kuwa anaandaliwa na CCM kiana ili kuleta mvuto.
 
Uwe na macho,

Angalia vyema matamshi na uelekeo wake,

Amewaomba watz kumwombea Lissu,

Act kuna m uto gani pale?
 
Sidhani kama ni hivyo isingefikia hatua ya kulifutia Kanisa usajili wangehangaika naye mwenyewe.
Bado inaweza kuwa ni "michezo" pia, kwani maamuzi ya kulifungia kanisa si yanaweza kutenguliwa tu.

Tazama reaction ya SSH katika hili baada ya matamko ya Gwaji it's like a movie, you don't see her seriousness kwenye kuliendea swala hili, na ikitokea ikawa ni kweli basi hii scene itakuwa imekuwa well played by both sides.
 
Na ndicho kinaenda kutokea soon,
 
Let's wait and see what is their next move.
 
Wewe unacheza na systeam?, Kanisa linafungiwa then wakienda mahakaman mahakimu wana elekezwa watoe hukumu lifunguliwe, hujui Move wewe.
.Hii yote ni kutengeneza mvuto, time will tell
Yote yanawezekana ngoja tuone kifuatacho baada ya hapa.
 
Huenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana.

Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na kukimbilia ACT Wazalendo kule atapokelewa na atakuwa mgombea Uraisi wao uchaguzi ujao.

Lengo hapa ni kutengeneza mvuto kwenye uchaguzi huu, na raia waaminishwe kuna mpinzani wa kweli sasa wa kupambana na Samia kwenye uchaguzi.

Tuvute muda ila mimi naamini kuna move inatengenezwa na baada ya hapo arudi zake CCM kuendelea na maiasha yake, ni kama Sakata la Membe ambaye CCM walimuandaa akagombee ACT na baadae arudi CCM.

Gwajima anaweza kuwa anaandaliwa na CCM kiana ili kuleta mvuto.
kwa ahadi za uongo alizoahidi kwa wananchi wa kawe, na kwa mbeleko iliombeba mpaka akawa mbunge wa Kawe na kwa joto na hali ya siasa za jimbo la kawe ndani ya ccm, hata ingekua wewe ni Gwajima ungetafuata pa kutokea tu. Ungejikuta hustahili hata kua mwana ccm tu licha ya kushindwa kura za maoni mapema kabla hata kura zenyewe hazijapigwa.

anachokifanya gwajima,
hakingekwepeka kwa yeyote ambae alitoa ahadi hewa kama za gwajima na kupata ubunge kwa mbeleko.
Fikiria, kwasasa hakuna mbeleko ya kumbeba, halafu ahadi hewa hujatekeleza hata moja, nani atakuchagua?
gwajima anakwepa hasira na adhabu ya aibu ambayo wanakawe walimuandalia hapo mbeleni kwenye uchaguzi :pulpTRAVOLTA:
 
Bado kuna walakini kwenye hili jambo lakini muda ndie hakimu wa kweli. Ngoja tuone ila wanasiasa sio wa kuwaamini kabisa
 
Back
Top Bottom