yes, ila naona huo ndio uelekeo,Bado kuna walakini kwenye hili jambo lakini muda ndie hakimu wa kweli. Ngoja tuone ila wanasiasa sio wa kuwaamini kabisa
Muache utekaji na kuua watu. Usitufanye watoto na kuhamisha madaHuenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana.
Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na kukimbilia ACT Wazalendo kule atapokelewa na atakuwa mgombea Uraisi wao uchaguzi ujao.
Lengo hapa ni kutengeneza mvuto kwenye uchaguzi huu, na raia waaminishwe kuna mpinzani wa kweli sasa wa kupambana na Samia kwenye uchaguzi.
Tuvute muda ila mimi naamini kuna move inatengenezwa na baada ya hapo arudi zake CCM kuendelea na maiasha yake, ni kama Sakata la Membe ambaye CCM walimuandaa akagombee ACT na baadae arudi CCM.
Gwajima anaweza kuwa anaandaliwa na CCM kiana ili kuleta mvuto.
Mimi tena? wait and seeMuache utekaji na kuua watu. Usitufanye watoto na kuhamisha mada
Huenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana.
Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na kukimbilia ACT Wazalendo kule atapokelewa na atakuwa mgombea Uraisi wao uchaguzi ujao.
Lengo hapa ni kutengeneza mvuto kwenye uchaguzi huu, na raia waaminishwe kuna mpinzani wa kweli sasa wa kupambana na Samia kwenye uchaguzi.
Tuvute muda ila mimi naamini kuna move inatengenezwa na baada ya hapo arudi zake CCM kuendelea na maiasha yake, ni kama Sakata la Membe ambaye CCM walimuandaa akagombee ACT na baadae arudi CCM.
Gwajima anaweza kuwa anaandaliwa na CCM kiana ili kuleta mv
Hii picha ingetokea baada ya mkutano wa CHAUMMA Mwanza ningekubaliana na weweHuenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana.
Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na kukimbilia ACT Wazalendo kule atapokelewa na atakuwa mgombea Uraisi wao uchaguzi ujao.
Lengo hapa ni kutengeneza mvuto kwenye uchaguzi huu, na raia waaminishwe kuna mpinzani wa kweli sasa wa kupambana na Samia kwenye uchaguzi.
Tuvute muda ila mimi naamini kuna move inatengenezwa na baada ya hapo arudi zake CCM kuendelea na maiasha yake, ni kama Sakata la Membe ambaye CCM walimuandaa akagombee ACT na baadae arudi CCM.
Gwajima anaweza kuwa anaandaliwa na CCM kiana ili kuleta mvuto.
Akienda ACT au Chauma ni haki yake ya kikatiba. Hoja yake imesikika dunia nzima kuhusu utekajiHuenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana.
Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na kukimbilia ACT Wazalendo kule atapokelewa na atakuwa mgombea Uraisi wao uchaguzi ujao.
Lengo hapa ni kutengeneza mvuto kwenye uchaguzi huu, na raia waaminishwe kuna mpinzani wa kweli sasa wa kupambana na Samia kwenye uchaguzi.
Tuvute muda ila mimi naamini kuna move inatengenezwa na baada ya hapo arudi zake CCM kuendelea na maiasha yake, ni kama Sakata la Membe ambaye CCM walimuandaa akagombee ACT na baadae arudi CCM.
Gwajima anaweza kuwa anaandaliwa na CCM kiana ili kuleta mvuto.
Yes ila kuna zaidi ya hilo unalo lijua weweAkienda ACT au Chauma ni haki yake ya kikatiba. Hoja yake imesikika dunia nzima kuhusu utekaji
MACCM yote ni majangili tu bora hii saa mbovu imeongea ukwelikwa ahadi za uongo alizoahidi kwa wananchi wa kawe, na kwa mbeleko iliombeba mpaka akawa mbunge wa Kawe na kwa joto na hali ya siasa za jimbo la kawe ndani ya ccm, hata ingekua wewe ni Gwajima ungetafuata pa kutokea tu. Ungejikuta hustahili hata kua mwana ccm tu licha ya kushindwa kura za maoni mapema kabla hata kura zenyewe hazijapigwa.
anachokifanya gwajima,
hakingekwepeka kwa yeyote ambae alitoa ahadi hewa kama za gwajima na kupata ubunge kwa mbeleko.
Fikiria, kwasasa hakuna mbeleko ya kumbeba, halafu ahadi hewa hujatekeleza hata moja, nani atakuchagua?
gwajima anakwepa hasira na adhabu ya aibu ambayo wanakawe walimuandalia hapo mbeleni kwenye uchaguzi![]()
huyu mzinifu wa kujirekodi sio gentleman?MACCM yote ni majangili tu bora hii saa mbovu imeongea ukweli

anakuzini wewehuyu mzinifu wa kujirekodi sio gentleman?![]()
unaweza kushere kale kavideo kake kakunyandua gentleman, kwa faida ya wadau?anakuzini wewe

Huo ndo ukweli Chama pekee cha siasa ambacho ni tishio kwa CCM ni CHADEMA.Akienda chadema hapo sawa lkn kinyume na hapo tunamsanukia ukiangalia matamshi ya mama hayana lamani.
unajaribu kurudisharudisha uokote point unakoswa hadi saahiv sielewi kwa nn kanisa limefungwa kwa nini gwaji anafatiliwa