BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Bado inaweza kuwa ni "michezo" pia, kwani maamuzi ya kulifungia kanisa si yanaweza kutenguliwa tu.Sidhani kama ni hivyo isingefikia hatua ya kulifutia Kanisa usajili wangehangaika naye mwenyewe.
Wewe unacheza na systeam?, Kanisa linafungiwa then wakienda mahakaman mahakimu wana elekezwa watoe hukumu lifunguliwe, hujui Move wewe.Sidhani kama ni hivyo isingefikia hatua ya kulifutia Kanisa usajili wangehangaika naye mwenyewe.
Na ndicho kinaenda kutokea soon,Bado inaweza kuwa ni "michezo" pia, kwani maamuzi ya kulifungia kanisa si yanaweza kutenguliwa tu.
Tazama reaction ya SSH katika hili baada ya matamko ya Gwaji it's like a movie, you don't see her seriousness kwenye kuliendea swala hili, na ikitokea ikawa ni kweli basi hii scene itakuwa imekuwa well played by both sides.
Let's wait and see what is their next move.Bado inaweza kuwa ni "michezo" pia, kwani maamuzi ya kulifungia kanisa si yanaweza kutenguliwa tu.
Tazama reaction ya SSH katika hili baada ya matamko ya Gwaji it's like a movie, you don't see her seriousness kwenye kuliendea swala hili, na ikitokea ikawa ni kweli basi hii scene itakuwa imekuwa well played by both sides.
Akili inagoma kabisa, kuna Move jamaa wanatengeneza wale.Uko sahihi Wanasiasa sio wa kuaminiwa sana
Mkuu achana na kuigiza, usicheze na linapo kuja swala la kuigiza, hahaaUwe na macho,
Angalia vyema matamshi na uelekeo wake,
Amewaomba watz kumwombea Lissu,
Act kuna m uto gani pale?
Yote yanawezekana ngoja tuone kifuatacho baada ya hapa.Wewe unacheza na systeam?, Kanisa linafungiwa then wakienda mahakaman mahakimu wana elekezwa watoe hukumu lifunguliwe, hujui Move wewe.
.Hii yote ni kutengeneza mvuto, time will tell
Exactly 💯Uko sahihi Wanasiasa sio wa kuaminiwa sana
Gwajima hawezi ingia chama Cha Mzee wa mgaso!Mkuu achana na kuigiza, usicheze na linapo kuja swala la kuigiza, hahaa
kwa ahadi za uongo alizoahidi kwa wananchi wa kawe, na kwa mbeleko iliombeba mpaka akawa mbunge wa Kawe na kwa joto na hali ya siasa za jimbo la kawe ndani ya ccm, hata ingekua wewe ni Gwajima ungetafuata pa kutokea tu. Ungejikuta hustahili hata kua mwana ccm tu licha ya kushindwa kura za maoni mapema kabla hata kura zenyewe hazijapigwa.Huenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana.
Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na kukimbilia ACT Wazalendo kule atapokelewa na atakuwa mgombea Uraisi wao uchaguzi ujao.
Lengo hapa ni kutengeneza mvuto kwenye uchaguzi huu, na raia waaminishwe kuna mpinzani wa kweli sasa wa kupambana na Samia kwenye uchaguzi.
Tuvute muda ila mimi naamini kuna move inatengenezwa na baada ya hapo arudi zake CCM kuendelea na maiasha yake, ni kama Sakata la Membe ambaye CCM walimuandaa akagombee ACT na baadae arudi CCM.
Gwajima anaweza kuwa anaandaliwa na CCM kiana ili kuleta mvuto.
Duh nishaona kupiga kelele kwenye siasa ni kupoteza mda tu🤔Exactly 💯