Tuwe makini na sakata la Gwajima, huenda ni Move ya CCM ili atoke aende ACT akagombee Uraisi, kumbuka ya Membe

Hakuna man made movie hapo, hata Lissu na Heche wakienda ACT hawewezi kujaza uwanja sana sana wataitwa wasaliti iweje Gwajima? think twice my brother. Nguvu ya Mungu ipo CDM na ndiyo maana Mwamba kastuka.
 
Muache utekaji na kuua watu. Usitufanye watoto na kuhamisha mada
 
Umefikiria mbali sana maelfu ya kilometer.
Tuwekeni hakiba ya maneno siasa zetu zinabadilika chapchap.

Gusa achia twende ACT😁
 
Yani Mkuu tunaacha kujadili hoja ya utekaji iliyoibuliwa na kupambana kumuunga mkono kukomeasha yanayoendelea tunaanza kufikiria next moves za uchaguzi wa CCM?
 

Hii picha ingetokea baada ya mkutano wa CHAUMMA Mwanza ningekubaliana na wewe
 
Akienda ACT au Chauma ni haki yake ya kikatiba. Hoja yake imesikika dunia nzima kuhusu utekaji
 
MACCM yote ni majangili tu bora hii saa mbovu imeongea ukweli
 
Akienda chadema hapo sawa lkn kinyume na hapo tunamsanukia ukiangalia matamshi ya mama hayana lamani.

unajaribu kurudisharudisha uokote point unakoswa hadi saahiv sielewi kwa nn kanisa limefungwa kwa nini gwaji anafatiliwa
 
Akienda chadema hapo sawa lkn kinyume na hapo tunamsanukia ukiangalia matamshi ya mama hayana lamani.

unajaribu kurudisharudisha uokote point unakoswa hadi saahiv sielewi kwa nn kanisa limefungwa kwa nini gwaji anafatiliwa
Huo ndo ukweli Chama pekee cha siasa ambacho ni tishio kwa CCM ni CHADEMA.

Mleta mada yupo sahihi.

ACT Wazalendo inatumika sana na majasusi uchwara wa System kutengeneza upinzani wa kiini macho kipindi cha uchaguzi ili ku kutengeneza hype kuwa uchaguzi ni wa Ushindani.

Ndo yale yale ya Membe. Hata hii kumchukua Sheikh Ponda ni kuwarubuni waislam wajinga wajinga ili wakapige kura.

Wanaweza kuwachukua Gwajima na Mbowe ili kukamilishs hilo kuwarubuni wajinga wajinga wa kikristo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…