Tuwe makini na watu tunaokuwa nao kwenye mahusiano

Tuwe makini na watu tunaokuwa nao kwenye mahusiano

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Hii inawahusu hasa wanaume/mabaharia wanaopenda kuchukua totoz maeneo mbali mbali.

Kuna siku tulikuwa kwenye kikao cha kiume na mabaharia wenzangu, tukawa tunabadilishana mawazo na katika mazungumzo ikaonekana vijana wengi wanateketea kuingia kwenye mahusiano ya jinsia moja, mbaya zaidi mtu anakutajia w, na w usimuone ana familia na anaenda ofisini; anagongwa.

Mbaya zaidi, wakanitajia mpaka mitaa ambayo hawa dume jike wanatafuta masoko.

Swali likaja, kwa nini wanaongezeka kwa kasi hiyo?

Jibu likawa hivi: Unavyotembea na mwanamke ambaye siyo mwaminifu, akiwa anakuchezea hayo maeneo ya hatari, huwa wanaweka vikemikali ambavyo vitasababisha hayo maeneo kuwa na muwasho, na hatimaye kujikuta umeingia kwenye huo ushenzi.

Wanaweza wakawa wanafanya vile, ili uendelee kumuhitaji kwenye soko au akawa na lengo la kukuharibu kabisa.

Kama mwanaume kamili, kwa hali ilivyo sasa, kuwa makini na wapenzi unaotembea nao; ukiona anaguswa guswa hayo maeneo, jaribu kuwa mkali, akizidi piga kofi kabisa.

Dunia imeharibika, usipojisimamia utapelekeshwa.
 
Kwa mwanaume yeyote rijali ukomo wa kupapaswa/shikwa/chezewa kwenye maungo baina ya kiuno na mapaja ni mbupu basi..
Ukiona mkono unapelekwa kalioni, mstari wa chini ya mbupu na kwingine kokote tofauti na dudu yenyewe hakikisha unaruka kama umepigwa shoti na msonyo juu, akirudia piga bonge la kofi.

Ukiruhusu kushikwa shikwa tako elewa upo mbioni kushikwa mtaro na ukija kutahamaki ushatiwa dole. Uzungu tuwaachie wazungu. Mababu zetu walipiga kifo cha mende tu na maisha yalikuwa murua kabisa .
 
Hii inawahusu hasa wanaume/mabaharia wanaopenda kuchukua totoz maeneo mbali mbali.

Kuna siku tulikuwa kwenye kikao cha kiume na mabaharia wenzangu, tukawa tunabadilishana mawazo, na katika mazungumzo ikaonekana vijana wengi wanateketea kuingia kwenye mahusiano ya jinsia moja, mbaya zaidi mtu anakutajia w, na w usimuone ana familia na anaenda ofisini; anagongwa.

Mbaya zaidi, wakanitajia mpaka mitaa ambayo hawa dume jike wanatafuta masoko.

Swali likaja, kwa nini wanaongezeka kwa spidi hiyo?

Jibu likawa hivi: Unavyotembea na mwanamke ambaye sio mwaminifu, akiwa anakuchezea hayo maeneo ya hatari, huwa wanaweka vikemikali, ambavyo vitasababisha hayo maeneo kuwa na mhasho na hatimaye kujikuta umeingia kwenye huo ushenzi.

Wanaweza wakawa wanafanya vile, ili uendelee kumuhitaji kwenye soko au akawa na lengo la kukuharibu kabisa.

Kama mwanaume kamili, kwa hali ilivyo sasa, kuwa makini na wapenzi unaotembea nao; ukiona anaguswa guswa hayo maeneo, jaribu kuwa mkali, akizidi piga kofi kabisa.

Dunia imeharibika, usipojisimamia utapelekeshwa.
Msiwasingizie wanawake, wanaume wengi wanagongwa kwa tamaa zao wenyewe
 
Kwa mwanaume yeyote rijali ukomo wa kupapaswa/shikwa/chezewa kwenye maungo baina ya kiuno na mapaja ni mbupu basi..
Ukiona mkono unapelekwa kalioni, mstari wa chini ya mbupu na kwingine kokote tofauti na dudu yenyewe hakikisha unaruka kama umepigwa shoti na msonyo juu, akirudia piga bonge la kofi.

Ukiruhusu kushikwa shikwa tako elewa upo mbioni kushikwa mtaro na ukija kutahamaki ushatiwa dole. Uzungu tuwaachie wazungu. Mababu zetu walipiga kifo cha mende tu na maisha yalikuwa murua kabisa .
Uzungu hautakiwi kupewa nafasi kwenye mahusiano
 
Hivi mwanaume unaruhusu vp kupapaswa mapaja na makalio wakati upo kitandani na mwanamke??? Hizo ni no entry zones!!

Kuna "wanaume" wanakubali kupigwa rimming na fisting kabisa , matokeo yake wanakuja kuingizwa hadi madildo kwenye kinyeo!!
 
Katika kitu kingine ambacho huwa sikielewi ni mtoto wa kiume kuvaa kinjunga kinachowacha wazi mapaja nje na masikioni kuvaa hereni na mkononi kuvaa kacha zile za rainbow au bendera ya tz n kenya...aisee huwa nawaona kama mashoga tu.
 
Back
Top Bottom