Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Hii inawahusu hasa wanaume/mabaharia wanaopenda kuchukua totoz maeneo mbali mbali.
Kuna siku tulikuwa kwenye kikao cha kiume na mabaharia wenzangu, tukawa tunabadilishana mawazo na katika mazungumzo ikaonekana vijana wengi wanateketea kuingia kwenye mahusiano ya jinsia moja, mbaya zaidi mtu anakutajia w, na w usimuone ana familia na anaenda ofisini; anagongwa.
Mbaya zaidi, wakanitajia mpaka mitaa ambayo hawa dume jike wanatafuta masoko.
Swali likaja, kwa nini wanaongezeka kwa kasi hiyo?
Jibu likawa hivi: Unavyotembea na mwanamke ambaye siyo mwaminifu, akiwa anakuchezea hayo maeneo ya hatari, huwa wanaweka vikemikali ambavyo vitasababisha hayo maeneo kuwa na muwasho, na hatimaye kujikuta umeingia kwenye huo ushenzi.
Wanaweza wakawa wanafanya vile, ili uendelee kumuhitaji kwenye soko au akawa na lengo la kukuharibu kabisa.
Kama mwanaume kamili, kwa hali ilivyo sasa, kuwa makini na wapenzi unaotembea nao; ukiona anaguswa guswa hayo maeneo, jaribu kuwa mkali, akizidi piga kofi kabisa.
Dunia imeharibika, usipojisimamia utapelekeshwa.