Tuwe na adabu Kwa Jakaya, yaani wewe kijana wa misungwi , mbinga, kibondo unajua mipango ya nchi kuliko jakaya hadi umzodoe?

Ifike hatua tuwe na adabu,
Jakaya kikwete ndio Rais mstaafu tuliyenaye, huyu ni msaada Kwa nchi yetu, angeamua kua kama uhuru anaweza lakini katulia na amebaki akiambiwa panda pikipiki wala hajali,
Nawapa hizi dondoo chache, fedha za SGR hadi dodoma aliacha ametafuta Jakaya, ile kijazi interchange alitafuta jakaya, tena magufuli akavuruga ramani, ilikua ni bonge la kitu,
Upanuzi wa barabara kimara hadi mile moja fedha alitafuta jakaya, daraja la tanzanite pesa aliacha jakaya,
Jakaya kawa muwazi kua mipango ilianza Kwa mkapa, akaihanikiza, magufuli kaisimamia, kosa lake ni lipi?
Nchi haijengwi na mtu mmoja, nchi inajengwa Kwa kupokezana, uongozi ni mbio za vijiti ni kupokezana huyu anakimbia hadi hapa na mwingine hadi kule.
Viongozi wetu wana mazuri na mabaya yao na kila mmoja anakitu alifanyia nchi yake tuwe na heshima,
Wewe ,funga mdomo wakoo ,na nakuonyaa hata siku moja usijaribu kufungu domo lako kuhusu Mzalendo wa Kweli kutokea nchi baada ya Mw Nyerere ,
Kikwete ana heshima yake lkn hajafikia hata punje ya JPM ,KUWA NA MIPANGO NI KAZI NDOGO SANA UTEKELEZAJI NI KAZI KUBWAAA .
Nakuonyaaa tafadhali sanaaaaaaaa, Embu kuwa na chembe ya uungwanaa kama haujafunzwa na wazazi wakoo jifunze kwa huyu Mzalendo wa kweli
 
Kwahiyo saiz anayeupiga mwingi ni jeikei Si mama enu tena!!

Mstaafu anatakiwa akubali kustaafu!!

Tangu lini kiongozi mzururaji akawa na muda wa mipango!!
 
Sema hata uwe kipofu vipi. Utagundua mwamba alikua ni mtu wa madili tu 😀 & hana noma na mtu.

Na pia watu wanasema 5 years za kwanza serikali yake ilionekana ya moto kwa sababu ya uwepo wa Rowasa kama W/Mkuu.

Ila binafsi sijawai mkubali, JPM alikua n mapungufu yake. Ila atleast akisema kitu kifanyike, unajua kwamba icho kitu lazima kifanyike muombe tu kiwe na manufaa.
 
Ifike hatua tuwe na adabu,
Jakaya kikwete ndio Rais mstaafu tuliyenaye, huyu ni msaada Kwa nchi yetu, angeamua kua kama uhuru anaweza lakini katulia na amebaki akiambiwa panda pikipiki wala hajali,
Nawapa hizi dondoo chache, fedha za SGR hadi dodoma aliacha ametafuta Jakaya, ile kijazi interchange alitafuta jakaya, tena magufuli akavuruga ramani, ilikua ni bonge la kitu,
Upanuzi wa barabara kimara hadi mile moja fedha alitafuta jakaya, daraja la tanzanite pesa aliacha jakaya,
Jakaya kawa muwazi kua mipango ilianza Kwa mkapa, akaihanikiza, magufuli kaisimamia, kosa lake ni lipi?
Nchi haijengwi na mtu mmoja, nchi inajengwa Kwa kupokezana, uongozi ni mbio za vijiti ni kupokezana huyu anakimbia hadi hapa na mwingine hadi kule.
Viongozi wetu wana mazuri na mabaya yao na kila mmoja anakitu alifanyia nchi yake tuwe na heshima,
This logical fallacy is called argument from authority.
 
images.jpeg-90.jpg
 
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kuelezea? Lakini katiba inaruhusu watu kutoa maoni yao. Watu wanawapima viongozi wao kadri wanavyoonekana. Na sio kitu kibaya kama hawajavunja sheria.

Watanzania wamempa nafasi wanayoona anastahili. Tubali yaishe
 
Acha weee.

Alitafuta pesa wapi babu wewe? Huyo alikuwa anakula maisha tu. Na escrow na richmond

Pesa zimetafutwa na JPM mwenyewe na wandarasi amewatafuta mwenyewe, na walisaini live tukiona.

Mfano mwingine ni Bwawa la Umeme la Nyerere. Tumu musoga walileta figisu balaa ili lisijengwe, mwisho wa siku wakaenda kupena medali, Tena wasitutingishe kabisa
In fact, walitaka lifutiliwe mbali. Mungu wetu ni mwema. Kuna mambo yanashangaza sana. Ile habari ya kukosekana crane, mara hakuna environment impact assessment, mara maji hayawezi kujaa...yaani figisu mwanzo mwisho
 
Ambaye hajajilimbikizia mali ni nani? Usitake watu wafunguke mengi ujue.

Kikwete ndiye Rais aliyefanya maisha yakawa na nafuu kuwahi kutokea nchi hii.

Pesa ilionekana mtaani hata kwa mtu wa chini aliweza kukidhi mahitaji yake pasipo tatizo kabisa.

Yeye ndiye mwanzilishi wa miradi mingi unayoiona leo kuanzia SGR, Mwendokasi, daraja la Kigamboni, Saraja la Ifakara, ujenzi chuo kikuu cha UDOM ambacho ndicho kikubwa kwa eneo lote la Afrika Mashariki na Kati.

Acha chuki zisizo na maana wewe.
Kumtetea Jakaya inahitaji karama ya ushawishi. Otherwise watu watakupiga mawe.
 
Nasikia hata bwawa la Nyerere mipango ilianza wakati wa Nyerere ila miaka yote 60 raia wamekuwa wakiishi katika migao ya umeme na majenereta

Walichoweza kufanya ni kutuletea IPTL. Baada ikazalisha Escrow. Hili hawaliongei hata siku moja 😂 😂 😂
 
Hakika Kikwete apewe haki yake.
Ameongea ukweli kuhusu SGR.
Salary Slip aliweka thread hapa JF mwaka 2013 JK akizungumzia mpango wa ujenzi wa SGR.

Kuzungumza kila mtu anazungumza. Kufanya ili itokee ndio mtihani. JPM apewe maua yake. Wengine wanachofanya kitokee ni kubeba hela kwa sandarusi
 
Back
Top Bottom