Tuwe na adabu Kwa Jakaya, yaani wewe kijana wa misungwi , mbinga, kibondo unajua mipango ya nchi kuliko jakaya hadi umzodoe?

Wewe ,funga mdomo wakoo ,na nakuonyaa hata siku moja usijaribu kufungu domo lako kuhusu Mzalendo wa Kweli kutokea nchi baada ya Mw Nyerere ,
Kikwete ana heshima yake lkn hajafikia hata punje ya JPM ,KUWA NA MIPANGO NI KAZI NDOGO SANA UTEKELEZAJI NI KAZI KUBWAAA .
Nakuonyaaa tafadhali sanaaaaaaaa, Embu kuwa na chembe ya uungwanaa kama haujafunzwa na wazazi wakoo jifunze kwa huyu Mzalendo wa kweli
 
Kwahiyo saiz anayeupiga mwingi ni jeikei Si mama enu tena!!

Mstaafu anatakiwa akubali kustaafu!!

Tangu lini kiongozi mzururaji akawa na muda wa mipango!!
 
Sema hata uwe kipofu vipi. Utagundua mwamba alikua ni mtu wa madili tu πŸ˜€ & hana noma na mtu.

Na pia watu wanasema 5 years za kwanza serikali yake ilionekana ya moto kwa sababu ya uwepo wa Rowasa kama W/Mkuu.

Ila binafsi sijawai mkubali, JPM alikua n mapungufu yake. Ila atleast akisema kitu kifanyike, unajua kwamba icho kitu lazima kifanyike muombe tu kiwe na manufaa.
 
This logical fallacy is called argument from authority.
 

Mbona unatumia nguvu nyingi sana kuelezea? Lakini katiba inaruhusu watu kutoa maoni yao. Watu wanawapima viongozi wao kadri wanavyoonekana. Na sio kitu kibaya kama hawajavunja sheria.

Watanzania wamempa nafasi wanayoona anastahili. Tubali yaishe
 
In fact, walitaka lifutiliwe mbali. Mungu wetu ni mwema. Kuna mambo yanashangaza sana. Ile habari ya kukosekana crane, mara hakuna environment impact assessment, mara maji hayawezi kujaa...yaani figisu mwanzo mwisho
 
Kumtetea Jakaya inahitaji karama ya ushawishi. Otherwise watu watakupiga mawe.
 
Nasikia hata bwawa la Nyerere mipango ilianza wakati wa Nyerere ila miaka yote 60 raia wamekuwa wakiishi katika migao ya umeme na majenereta

Walichoweza kufanya ni kutuletea IPTL. Baada ikazalisha Escrow. Hili hawaliongei hata siku moja πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hakika Kikwete apewe haki yake.
Ameongea ukweli kuhusu SGR.
Salary Slip aliweka thread hapa JF mwaka 2013 JK akizungumzia mpango wa ujenzi wa SGR.

Kuzungumza kila mtu anazungumza. Kufanya ili itokee ndio mtihani. JPM apewe maua yake. Wengine wanachofanya kitokee ni kubeba hela kwa sandarusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…