Tuwe na adabu Kwa Jakaya, yaani wewe kijana wa misungwi , mbinga, kibondo unajua mipango ya nchi kuliko jakaya hadi umzodoe?

Kwenye Unga hapo naungana na wewe,Mpaka ikafika wakati wanataka kubadilishana mateka na Aridhi yetu ya Bagamoyo...Kaharibu sana vijana wa kinondoni na sjui kwa nn mpaka leo afi akapate Adhabu yake mbinguni.
Hao mateja ndo wanakuja huku kumuanzishia nyuzi za kumsifu.
 
Mnyonge mnyongeni,lakini haki yake mpeni,sikumkubali JPM kwenye mambo kadha,lakini kuhusu miradi kama SGR,makao makuu Dodoma,bwawa la umeme la Nyerere nk ni kazi ya JPM wala sio Kikwete.
Miradi ya JPM inawaumiza viongozi wengi, walio shindwa kipindi cha utawala wao,mwisho kila wakipewa microphone wanajifanya na wao wana michango kwenye miradi hiyo.
Bure kabisa.
 
Umesahau hata hela za kununua ndege alitafuta Jakaya, hela za kuhamishia serikali Dodoma pia alitafuta Jakaya
 
Kwa jinsi alivyo mtu wa hovyo mwambie tuu siku atakayo kufa itakua sherehe kubwa sana Tanzania yote kwa Kila anaeitakia mema, nchi bahati mbaya sana hatoshuhudia dharau na kejeli zetu kwa maiti yake
 
Kwa namna kikwete alivyoiharibu Nchi,alistahili kuchalazwa mijeredi mbele ya hadhara kabisa.
 
jakaya legacy pekee ameacha ni majizi na utani. hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujilimbikizia mali.
Unafahamu kuwa kabla ya Jakaya ukitaka kwenda na kurudi Mwanza kutokea Dar inabidi uende kwanza Kenya?
 
Kuiondowa hiyo adhabu ya Mtanzania kutokea Mwanza kwenda Dar mpaka aende Kenya kwanza, siyo legacy hiyo?
leo umeshinda rafiki yangu. umechukua point zote. na umenikumbusha mbali safari zile na scandinavia. dah. wewe bibi weweeee.
 
jakaya legacy pekee ameacha ni majizi na utani. hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujilimbikizia mali.
daraja la kigamboni kajenga nani? daraja la malagalasi kajenga nani? UDOM kamalizia kujenga nani?
Jakaya alipoingia madarakani alisema anataka siku moja watu waweze kutoka Mtwara hadi Bukoba kwa tax kweli alifanikiwa.
tafuta takwimu za barabara za lami alizoacha JK kwa mkoa wa KIGOMA ukilinganisha na mtangulizi wake na aliyemfuatia
ule ukumbi wa mikutano pale jk international huoni?
ile airport ya Dar ilijengwa nanani?
Unajjua alipoingia madarakani kulikuwa na vyuo vikuu vingapi na aliondoka akiacha vingapi?
LEGACY MAANA YAKE INAJULIKANA LAKINI ?
 
aliacha wabunge wangapi wa upinzani bungeni na aliyefuatia aliacha wangapi?
 
Magufuli alisema alipo ingia Ikulu hakukuta ata senti moja Azina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…