Tuwe na utaratibu wa kuziweka wazi taarifa kificho muda unapofika

Kabendera kaongea mengi ambayo hata yeye anasema aliambiwa na watu. Mengine sio mageni kwa sababu tuliyasikia kama tetesi tangu JPM akiwa hai

Jambo moja alilosema Kabendera ni kwamba eti Julius Nyerere alikuwa anatrack na kuwa-assassinate wapinzani wake, hasa wale waliotoroka kwanza na kurudi nchini baade kimyakimya (below screenshot)

Ningetamani Kabendera atutajie hata majina matatu tu ya hao waliokuwa assassinated
 
Mkuu

Hiyo ni calculated move ya kitengo!

Nadhani wanahalalisha kumchafua mtu kaliba ya cheo hicho huko mbeleni!

Team jpm kitengo wakianza kuzisaka info za viongozi na kuziweka wazi ni hatari mno Kwa wahusika!!

We subiri uone kitakachojiri!
Mwaka wa uchaguzi huu halafu hayo Yana leak kwanini ya leak kipindi hiki!!?

Kuna namna!

Nimewaza TU ki JF JF vile tuwazavyo wengi!
 
Hapo katumika vibaya
 
Umewaza deep sana kuna kete zinaandaliwa zije zichezwe kwa namna ya ushindi usio na mapingamizi
 
Hapo katumika vibaya
Kuna vistatement vingivingi vyenye kutia shaka

Kwa mfano, siamini eti Vice President alitishia kuresign kwa sababu eti kuna siku JPM aliibukia kwa madame SSH usiku mnene akiwa kavaa Pajama

Tetesi za VP kudaiwa kutaka kuresign zilisikika kipindi flani na sababu haikuwa hiyo aliyoitaja Kabendera
 
Mkuu Mkuu una hiki kitabu unitumie au utume humu? Au kama kuna mwenye nacho atume humu jamani
 
๐Ÿค”
 
Kwa hiyo umeamini kilichoandikwa kwenye kitabu!??
Watu wanalishwa matongo pori wengi wanaingia kichwa kichwa!
Jiulize kwanini kitabu kinatoka mwaka wa uchaguzi!!?
 
Chapisho maridhawa sana hili Mkuu
 
Kwa hiyo umeamini kilichoandikwa kwenye kitabu!??
Watu wanalishwa matongo pori wengi wanaingia kichwa kichwa!
Jiulize kwanini kitabu kinatoka mwaka wa uchaguzi!!?
Wapi nimeandika hayo unayosema hapa?
 
Aliyoandika Kabendera kwenye kitabu chake siyo classified Information hata kidogo. Ni ukatili wa Magufuli ambao unatakiwa kuanikwa kwa kadiri iwezekanavyo.
 
Sokoine alifariki vipi vile!? Au Karume mkubwa alifariki vipi vile!?
 
Mkuu
Mkuu una hiki kitabu unitumie au utume humu? Au kama kuna mwenye nacho atume humu jamani
Kinapatikana Amazon kwa kununua Kindle version. Paperback copies hazijafika kwa bookshops za Tanzania - na huenda zisije๐Ÿ˜‡

Pirated version haipo kwa sasa, labda watu wataweka huko PDF drive (https://www.pdfdrive.com/) baada ya miezi kadhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ