Tuwe na utaratibu wa kuziweka wazi taarifa kificho muda unapofika

Classified information kamwe haziwezi kuwa De-classified kwa hapa bongo, never, hata ipite miaka 100 kamwe taarifa hizo hazitaweza kuwekwa hadharani. Never, never, never, never ever!
Je, umeshawahi kujiuliza ni kwa nini baadhi ya vigogo wa 'ile kampuni' wamekuwa wakifa vifo vya kutatanisha?
Hivi General Imran Kombe alifariki kwa ugonjwa gani vile? Na hivi Mzee Apson Mwang'onda naye alifariki kwa ugonjwa gani vile? Watu mnaofahamu mambo haya naomba mnifahakishe tafadhali sana.
Vipi kama sheria thabiti zikiwepo/kutungwa na kuenendwa ili kudhibiti wale "mbuzimawe" wakorofi wasiopenda declassiications/uwekwaji wazi wa siri hadharani?We better be led by the book/laws and regulations!
 
🥺🥺🥺🥺👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
In the name of the president Kwenye kitabu cha @kabsjourno

Kuna tuhuma kwamba Jiwe alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku iliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia
Makamu akamtishia kwamba ange jihuzuru

dah Jiwe alikuwa na mambo mengi ya kindezi sana, TISS wanasimamia vitu vya ovyo sana
Source: Tweeter X
20250103_150650.jpg
 
Kabendera ana kipaji cha kuandikia magazeti. Hana kipaji cha kuandika kitabu.
 
Wazungu kuna kitu wanaita classified information! Hizi ni taarifa kificho zinazofahamika kwa kaliba fulani ya watu ndani ya mamlaka ya nchi..
Hizi huwa ni taarifa za siri zinazowahusu viongozi wa nchi mambo yahusuyo nchi ambazo kama zikivuja kwa wakati huo nchi inaweza kuingia matatani
Huitwa classified information kwakuwa duniani hakuna siri ya mtu mmoja milele.. Hivyo huwa na kipindi maalum cha mpito mpaka zipoe na kuwa na madhara madogo ndio hutolewa public.. Hii husaidia sana kuwakata kalima wale wote ambao wangezivujisha kwa ladha na vionjo vyao kabla ya mamlaka!
Afrika na Tanzania na pengine mataifa mengi mengine hayana huo utaratibu.. Na hii hutoa nafasi kwa watu binafsi.. Kuzitafuta taarifa husika na kuzovujisha kwa Jamii kupitia maandiko ya vitabuni machapisho mitandaoni nknk!
Tumeunza mwaka 2025 na machapisho ya mwandishi Erick Kabendera mmojawapo wa wahanga wa utawala wa JPM
Ametoa kitabu kinachoelezea mengi maovu ya JPM katka utawala wake! Mengi kati yake si mageni.. Yalikuwa ni tetesi ambazo zilijadiliwa kwa siri na kwa uoga mkubwa! Hakuna chombo chochote cha habari ama mwandishi binafsi alijaribu kuziweka wazi kama alivyofanya Eric sasa hivi

Kitabu chake hicho kimezua mijadala ya kila aina.. Kuna ambao wamefikia kuishauri mamalaka kukifungia kwakuwa kinamchafua marehemu na kuitia doa ccm na serikali yote
Mimi nashauri kiachwe.. Na mijadala mingi zaidi iruhusiwe na ikiwezekana taarifa zile zipewe majibu ya kweli na ya hhakika
Kwa kufanya hivyo serikali itakuwa imejitua mzigo mkubwa sana na kufunga ukursaha wa hayo mazonge yote ya utawala wa JPM
Jaribio lolote la kutaka kukizuia kitabu cha Kabendera na kuahirisha tatizo ambalo linakuja kuibuka tena na kwa nguvu zaidi katika kipindi ambacho hakina afya sana!
Kitabu kiachwe kama ni uongo waje na ukweli
 
Ya kwamba alipigwa risasi ya kichwa ikulu!..🤣

unavyowaza wewe sivyo wanavyowaza wao maana wao wanaona na wanafika ambapo wewe hufiki na huoni!.
Hata hivyo yoyote anaweza kujiandikia chochote.
 
Kwa Tanzania hii?? I don't expect this to happen!

Kwa tawala zenye itikadi za siasa za Kikomunisti/Ujamaa hawana utamaduni huo wa kufanya De-classification ya taarifa zao za Siri (Classified Information). Hii ni kutokana na sababu nyingi Sana, lakini sababu kuu ikiwa ni kuficha Uovu na Uhalifu ambao umefanywa na Utawala husika.

Kumbuka: Uhai au existence ya utawala wowote ule wa Kikomunisti/Ujamaa hutegemea na suala zima la kuwaangamiza au kufanyia madhila na uhalifu wale wapinzani wao au wakosoaji wao.
Case Study: Rejea suala zima la kuanguka kwa Utawala wa Shirikisho la Urusi ya zamani (USSR) na KGB pamoja na Ushetani uliokuwa ukifanyika kwa Wananchi kwa kutumia genge hilo la KGB.
Nchi masikini inavyochimbiwa vyoo kwa msaada wa watu wa Marekani na Umoja wa Ulaya, inawezaje kuwa ya kijamaa??

Sifa moja wapo ya kuwa nchi ya kijamaa katika dunia inayoongozwa na Mabepari ni kuwa na silaha Kali. Je, nyie mnazo??

Tazama Russia, China, North Korea and Iran, wote wanaboresha nuclear arsenal zao kwa maana wanajua Mabepari wanawatamani kama sio Leo basi ni kesho.

Je, mnalo Jeshi imara la kulinda dola yenu ya kijamaa??..

CC: Detective J
 
Wazungu kuna kitu wanaita classified information! Hizi ni taarifa kificho zinazofahamika kwa kaliba fulani ya watu ndani ya mamlaka ya nchi..
Hizi huwa ni taarifa za siri zinazowahusu viongozi wa nchi mambo yahusuyo nchi ambazo kama zikivuja kwa wakati huo nchi inaweza kuingia matatani
Huitwa classified information kwakuwa duniani hakuna siri ya mtu mmoja milele.. Hivyo huwa na kipindi maalum cha mpito mpaka zipoe na kuwa na madhara madogo ndio hutolewa public.. Hii husaidia sana kuwakata kalima wale wote ambao wangezivujisha kwa ladha na vionjo vyao kabla ya mamlaka!
Afrika na Tanzania na pengine mataifa mengi mengine hayana huo utaratibu.. Na hii hutoa nafasi kwa watu binafsi.. Kuzitafuta taarifa husika na kuzovujisha kwa Jamii kupitia maandiko ya vitabuni machapisho mitandaoni nknk!
Tumeunza mwaka 2025 na machapisho ya mwandishi Erick Kabendera mmojawapo wa wahanga wa utawala wa JPM
Ametoa kitabu kinachoelezea mengi maovu ya JPM katka utawala wake! Mengi kati yake si mageni.. Yalikuwa ni tetesi ambazo zilijadiliwa kwa siri na kwa uoga mkubwa! Hakuna chombo chochote cha habari ama mwandishi binafsi alijaribu kuziweka wazi kama alivyofanya Eric sasa hivi

Kitabu chake hicho kimezua mijadala ya kila aina.. Kuna ambao wamefikia kuishauri mamalaka kukifungia kwakuwa kinamchafua marehemu na kuitia doa ccm na serikali yote
Mimi nashauri kiachwe.. Na mijadala mingi zaidi iruhusiwe na ikiwezekana taarifa zile zipewe majibu ya kweli na ya hhakika
Kwa kufanya hivyo serikali itakuwa imejitua mzigo mkubwa sana na kufunga ukursaha wa hayo mazonge yote ya utawala wa JPM
Jaribio lolote la kutaka kukizuia kitabu cha Kabendera na kuahirisha tatizo ambalo linakuja kuibuka tena na kwa nguvu zaidi katika kipindi ambacho hakina afya sana!
Big Point. Hakuna haja ya kukifungia kitabu hicho. Acha mambo yawekwe wazi, huu ndiyo muda sahihi.
 
🥺🥺🥺🥺👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
In the name of the president Kwenye kitabu cha @kabsjourno

Kuna tuhuma kwamba Jiwe alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku iliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia
Makamu akamtishia kwamba ange jihuzuru

dah Jiwe alikuwa na mambo mengi ya kindezi sana, TISS wanasimamia vitu vya ovyo sana
Source: Tweeter XView attachment 3191460
kama hujui unachokifanya ni sawa lkn kama unajua unachokifanya ni sawa pia ila unakifanya kishamba sana!
 
Ya kwamba alipigwa risasi ya kichwa ikulu!..🤣

unavyowaza wewe sivyo wanavyowaza wao maana wao wanaona na wanafika ambapo wewe hufiki na huoni!.
Hata hivyo yoyote anaweza kujiandikia chochote.
Mbona wewe hujajiandikia chochote. 😂 au ndio hiki?
 
Kumbuka: Uhai au existence ya utawala wowote ule wa Kikomunisti/Ujamaa hutegemea na suala zima la kuwaangamiza au kufanyia madhila na uhalifu wake wapinzani wao au wakosoaji wao.📌🔨
Kama nchi ya kijamaa haina uchumi imara, Jeshi imara na ushawishi mkubwa katika siasa za kimataifa (UN Veto Power) anakuwa kama anajilisha tu upepo.

Nchi iliyopo sub Saharan Africa kujiita kuwa ni ya kijamaa, ni kituko.
 
kama hujui unachokifanya ni sawa lkn kama unajua unachokifanya ni sawa pia ila unakifanya kishamba sana!
So andishi langu angalia credit nimetoa kwa nani
 
Haya bado ya moto sana. Yakisemwa sasa katika uhalisia wake.. CCM inaanguka misa ya kwanza na viongozi wengi wakuu watapelekwa The Hague
Waambie mkuu. Hawajui hao. Mungu wabariki sana wazungu kwa kuunda ICC ya The Hague..
 
Classified information kamwe haziwezi kuwa De-classified kwa hapa bongo, never, hata ipite miaka 100 kamwe taarifa hizo hazitaweza kuwekwa hadharani. Never, never, never, never ever!
Je, umeshawahi kujiuliza ni kwa nini baadhi ya vigogo wa 'ile kampuni' wamekuwa wakifa vifo vya kutatanisha?
Hivi General Imran Kombe alifariki kwa ugonjwa gani vile? Na hivi Mzee Apson Mwang'onda naye alifariki kwa ugonjwa gani vile? Watu mnaofahamu mambo haya naomba mnifahakishe tafadhali sana.
Kwa hiyo ulitegemea Kombe na huyo Apson waishi milele kwa maana wao ni milima?? Mbona hiyo kampuni mnai overate sana wakati ni watu wa kawaida sana kama mimi na wewe tu??..
 
Ya kwamba alipigwa risasi ya kichwa ikulu!..🤣

unavyowaza wewe sivyo wanavyowaza wao maana wao wanaona na wanafika ambapo wewe hufiki na huoni!.
Hata hivyo yoyote anaweza kujiandikia chochote.
You're overrating those SSIT guys..
 
Back
Top Bottom