Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Vipi kama sheria thabiti zikiwepo/kutungwa na kuenendwa ili kudhibiti wale "mbuzimawe" wakorofi wasiopenda declassiications/uwekwaji wazi wa siri hadharani?We better be led by the book/laws and regulations!Classified information kamwe haziwezi kuwa De-classified kwa hapa bongo, never, hata ipite miaka 100 kamwe taarifa hizo hazitaweza kuwekwa hadharani. Never, never, never, never ever!
Je, umeshawahi kujiuliza ni kwa nini baadhi ya vigogo wa 'ile kampuni' wamekuwa wakifa vifo vya kutatanisha?
Hivi General Imran Kombe alifariki kwa ugonjwa gani vile? Na hivi Mzee Apson Mwang'onda naye alifariki kwa ugonjwa gani vile? Watu mnaofahamu mambo haya naomba mnifahakishe tafadhali sana.