Jiandae kisaikolojia kwani Mh Mbowe hatogombea. Anakwenda kuwaachia wengine kama alivyoachiwa yeye na Watangulizi wake.Sifa alizotaja Lissu jana..ni sifa gani hakuwa nayo wakati Mbowe anagombea uenyekiti mara ya kwanza? Km vile viungo vya mwili vinavyohitajiana na uongozi kwenye kundi ni hivyo hivyo, mkono hauwezi kufanya kazi za kichwa..Lissu hawezi kazi/majukumu ya kuwa Mwenyekiti..anaweza kuwa msaidizi..ukizitambua kazi za kichwa cha mnyama, hizo ndio sifa za Mbowe kuwa Mwenyekiti Chadema..tujifunze kujua vyama vina maelekezo ya waliobeba maono wakati kinaanzishwa vzr kuyazingatia kuliko jazba za ujana..kwa anayesoma vitabu pekee vyenye umri mrefu kupita vitabu vingine vyote..vina mifano ya kutahadhalisha jamii kufuata msimamo wa vijana au kusikiliza maneno yao..9 kati ya 10 yana mwelekeo wa uharibifu na si kujenga.
Hii ndiyo aina ya demokrasia inayotakiwa ndani ya chama kikubwa na chenye hadhi. Hasa pale vongozi wa juu wa chama wanapotia nia katika kinyang'anyiro cha nafasi moja ya juu kabisa ya uongozi wa chama.Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea
Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.
Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
Nje kabisa ya mada. Hello guys be relevant please. Tunajadili sababu za Mbowe kuendelea kuwa mwenyekitiJambo akiwa analifanya mwingine linaweza kuonekana rahisi sana ila ukifanya wewe ndo utajua ugumu wake!
Binafsi namuona Lisu kama kiongozi wa mihemko na mwepesi wa kuzila hana uvumilivu anadhani kila jambo linaweza kufanyika kadri atakavyo yeye!!!
Let's wait!
Njaa Kali sio?Njaa tu zinamsumbua. Hana kazi ya maana ya kumpa kipato kwasasa
Sifa alizotaja Lissu jana..ni sifa gani hakuwa nayo wakati Mbowe anagombea uenyekiti mara ya kwanza? Km vile viungo vya mwili vinavyohitajiana na uongozi kwenye kundi ni hivyo hivyo, mkono hauwezi kufanya kazi za kichwa..Lissu hawezi kazi/majukumu ya kuwa Mwenyekiti..anaweza kuwa msaidizi..ukizitambua kazi za kichwa cha mnyama, hizo ndio sifa za Mbowe kuwa Mwenyekiti Chadema..tujifunze kujua vyama vina maelekezo ya waliobeba maono wakati kinaanzishwa vzr kuyazingatia kuliko jazba za ujana..kwa anayesoma vitabu pekee vyenye umri mrefu kupita vitabu vingine vyote..vina mifano ya kutahadhalisha jamii kufuata msimamo wa vijana au kusikiliza maneno yao..9 kati ya 10 yana mwelekeo wa uharibifu na si kujenga.
Kuna sababu gani Mbowe asigombee uenyekiti CHADEMA? Na kama atagombea atakuwa amevunja sheria gani ya nchi na ya chama chake?Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea
Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.
Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
Wewe jamaa mbea sanaViongozi wote wa kkkt wamemuagiza Mbowe astafu
Na pia Mbowe anamuunga mkono Lissu, patamu hapo maccm hayajausoma huu mchezo yamebaki kuanzisha nyuzi za uchochezi kila baada ya dakika tano.Jiandae kisaikolojia kwani Mh Mbowe hatogombea. Anakwenda kuwaachia wengine kama alivyoachiwa yeye na Watangulizi wake.
Ramli, Mbowe ana mafanikio gani? Maana sasa hivi chaguzi zinaporwa wazi wazi na hakuna lolote anafanya...bora ahame Lissu na si Mbowe, Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti chama kikafanikiwa..
Kura yako unampa nani kama Mwenyekiti aliyepo madarakani ataamua tena kurusha ndoano ?Nadhani tungesubiri kidogo ili labda Kama Mbowe atatangaza kugombea ndio tuanze kujadili
Halafu katiba ya Ukomo ilikuwepo chademq. Ilikuwq ni miaka 10 terms. Mbowe akaifanyia maboresho na kuondoa UkomoJana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea
Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.
Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
Resistance to change . Mbowe hana u special kuwazidi binadqmu wengine….Jambo akiwa analifanya mwingine linaweza kuonekana rahisi sana ila ukifanya wewe ndo utajua ugumu wake!
Binafsi namuona Lisu kama kiongozi wa mihemko na mwepesi wa kuzila hana uvumilivu anadhani kila jambo linaweza kufanyika kadri atakavyo yeye!!!
Let's wait!
Ma ccm hayataki hivyo, siasa hizo Mbowe amezifanya kwa miaka kibao hazijakisaidia chama hata kdg...kwasasa anatakiwa mtu radical...Lissu is the man!!!...bado yanahitaji mtu mwenye uvumilivu sana na mlezi kuepusha shari.
Wawashawishi wengi wajitokeze kugombea ili kuwe na democrasia. Na Mbowe asimamie uchaguz yeye asigombee awaachie wenzake. Akifanya hivyo kwakweli CHADEMA itakuwa imeonesha ukomavu.Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea
Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.
Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
Kusema Mbowe ana mafanikio gani wakati unafahamu fika vyama vyote vilivyowahi kuwa na mafanikio km chadema mf. Kuwa na idadi ya wabunge wengi wa kuchaguliwa..CUF, NCCR hata UDP vimebaki majina tu..lkn Chadema bado ipo..hayo ni mafanikio makubwa km unafahamu siasa za Tanzania..Ramli, Mbowe ana mafanikio gani? Maana sasa hivi chaguzi zinaporwa wazi wazi na hakuna lolote anafanya.
..siasa za kuwa radical Mtikila alifanikiwa? Mbona hata yeye Lisu ameshindwa kudai stahiki zake za ubunge pamoja na kuwa radical? na nyinyi mbona hamsemi kutaka wadhalimu wamlipe stahiki zake..kipi borà kwake apate stahiki ya jasho lake au kupigania haki za wengine halafu uishi kwa michango..mbona mmeshindwa kumshauri arudishe familia yake hapa nchini, kwenu ni sawa Lissu kuwa hapa peke yake akifanya kazi wakati familia yake iko mbali uhamishoni? Mambo ya uongozi yanahitaji sana sapoti ya familia yako, yeye ni binadamu anahitaji faraja na kutiwa moyo na watu wa karibu naye..wako wapi? Mnaelewa kweli mazingira yanayomzunguka Lisu au vile tu hoja ni Mbowe amekuwa mwenyekiti muda mrefu..!Ma ccm hayataki hivyo, siasa hizo Mbowe amezifanya kwa miaka kibao hazijakisaidia chama hata kdg...kwasasa anatakiwa mtu radical...Lissu is the man!!!.