Tuwe objective: Mbowe ana sababu gani za kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA

Jambo akiwa analifanya mwingine linaweza kuonekana rahisi sana ila ukifanya wewe ndo utajua ugumu wake!
Binafsi namuona Lisu kama kiongozi wa mihemko na mwepesi wa kuzila hana uvumilivu anadhani kila jambo linaweza kufanyika kadri atakavyo yeye!!!
Let's wait!
 
Sifa alizotaja Lissu jana..ni sifa gani hakuwa nayo wakati Mbowe anagombea uenyekiti mara ya kwanza? Km vile viungo vya mwili vinavyohitajiana na uongozi kwenye kundi ni hivyo hivyo, mkono hauwezi kufanya kazi za kichwa..Lissu hawezi kazi/majukumu ya kuwa Mwenyekiti..anaweza kuwa msaidizi..ukizitambua kazi za kichwa cha mnyama, hizo ndio sifa za Mbowe kuwa Mwenyekiti Chadema..tujifunze kujua vyama vina maelekezo ya waliobeba maono wakati kinaanzishwa vzr kuyazingatia kuliko jazba za ujana..kwa anayesoma vitabu pekee vyenye umri mrefu kupita vitabu vingine vyote..vina mifano ya kutahadhalisha jamii kufuata msimamo wa vijana au kusikiliza maneno yao..9 kati ya 10 yana mwelekeo wa uharibifu na si kujenga.
Jiandae kisaikolojia kwani Mh Mbowe hatogombea. Anakwenda kuwaachia wengine kama alivyoachiwa yeye na Watangulizi wake.
 
Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea

Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.

Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
Hii ndiyo aina ya demokrasia inayotakiwa ndani ya chama kikubwa na chenye hadhi. Hasa pale vongozi wa juu wa chama wanapotia nia katika kinyang'anyiro cha nafasi moja ya juu kabisa ya uongozi wa chama.

Ni jambo muhimu sana kwa M/Kiti Taifa anayemaliza muda kushindana na kada mwingine mzoefu na mwenye uwezo ili kuweza kupima umahiri wake. Makundi mbalimbali ni lazima yajitokeze ili kuunga ama kutounga mkono upande fulani.. Hii ni fursa nzuri katika kulinganisha fikra pevu, maono, na hata hatma ya muelekeo wa chama katija siku zijazo, hasa pale kinapozidi kutafuta ustawi wake kuendana na matakwa ya wakati.

Ila ikifika mwisho wa mchakato huu wa kidemokrasia, kila kitu kitakuwa bayana, na hapo tutapata jibu mshindi ni nani. Kila heri Mh. Mbowe, kila la heri Mh. Lissu. Atakayeshindwa ni lazima akubaliane na matokeo. Visijitokeze visingizio kuhusu kushindwa kwa mtu

Ni lazima watu wawe na ngozi ngumu kuyapokea matokeo. Demokrasi ina gharama zake, na moja yake ni "the fear of unknown" endapo sauti ya waliokuwa wengi ikiongea. Hii ndiyo hofu kuu inayopelekea utamaduni wa kutolewa kwa fomu moja.
 
.
Jambo akiwa analifanya mwingine linaweza kuonekana rahisi sana ila ukifanya wewe ndo utajua ugumu wake!
Binafsi namuona Lisu kama kiongozi wa mihemko na mwepesi wa kuzila hana uvumilivu anadhani kila jambo linaweza kufanyika kadri atakavyo yeye!!!
Let's wait!
Nje kabisa ya mada. Hello guys be relevant please. Tunajadili sababu za Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti
 
Sifa alizotaja Lissu jana..ni sifa gani hakuwa nayo wakati Mbowe anagombea uenyekiti mara ya kwanza? Km vile viungo vya mwili vinavyohitajiana na uongozi kwenye kundi ni hivyo hivyo, mkono hauwezi kufanya kazi za kichwa..Lissu hawezi kazi/majukumu ya kuwa Mwenyekiti..anaweza kuwa msaidizi..ukizitambua kazi za kichwa cha mnyama, hizo ndio sifa za Mbowe kuwa Mwenyekiti Chadema..tujifunze kujua vyama vina maelekezo ya waliobeba maono wakati kinaanzishwa vzr kuyazingatia kuliko jazba za ujana..kwa anayesoma vitabu pekee vyenye umri mrefu kupita vitabu vingine vyote..vina mifano ya kutahadhalisha jamii kufuata msimamo wa vijana au kusikiliza maneno yao..9 kati ya 10 yana mwelekeo wa uharibifu na si kujenga.

GeqFYhVWsAAcU0W.jpeg
 
Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea

Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.

Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
Kuna sababu gani Mbowe asigombee uenyekiti CHADEMA? Na kama atagombea atakuwa amevunja sheria gani ya nchi na ya chama chake?
 
Jiandae kisaikolojia kwani Mh Mbowe hatogombea. Anakwenda kuwaachia wengine kama alivyoachiwa yeye na Watangulizi wake.
Na pia Mbowe anamuunga mkono Lissu, patamu hapo maccm hayajausoma huu mchezo yamebaki kuanzisha nyuzi za uchochezi kila baada ya dakika tano.
 
..bora ahame Lissu na si Mbowe, Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti chama kikafanikiwa..
Ramli, Mbowe ana mafanikio gani? Maana sasa hivi chaguzi zinaporwa wazi wazi na hakuna lolote anafanya.
 
Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea

Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.

Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
Halafu katiba ya Ukomo ilikuwepo chademq. Ilikuwq ni miaka 10 terms. Mbowe akaifanyia maboresho na kuondoa Ukomo

Tatizo la waaafrica yapo kwenye vichwa vyao . Tunadai tume huru na katiba mpya wakati sisi katiba yetu Chadema haireflect tunachokidai….. absurd

Tutatue kwanza shida za ndani ndio tutoke nje
Mbowe is not smart guy
 
Jambo akiwa analifanya mwingine linaweza kuonekana rahisi sana ila ukifanya wewe ndo utajua ugumu wake!
Binafsi namuona Lisu kama kiongozi wa mihemko na mwepesi wa kuzila hana uvumilivu anadhani kila jambo linaweza kufanyika kadri atakavyo yeye!!!
Let's wait!
Resistance to change . Mbowe hana u special kuwazidi binadqmu wengine….

Akifa leo je?

Acheni hulka hizi : resistance to change ni cancer mbaya sana

Ni kitu gani kigumu mbowe anafanya wengine hawatoweza? Au yeye ni malaka….hizi ni tabia za kimasikini sana

na msipoamka, CCM ITAWAONGOZA HADI VITUKUU VYENU MAANA HAMNA AKILI
 
Mzee mtei ,Bob wote hawajamaliza miaka sita ila mbowe sasa kama sultan
 
..bado yanahitaji mtu mwenye uvumilivu sana na mlezi kuepusha shari.
Ma ccm hayataki hivyo, siasa hizo Mbowe amezifanya kwa miaka kibao hazijakisaidia chama hata kdg...kwasasa anatakiwa mtu radical...Lissu is the man!!!.
 
Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea

Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.

Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
Wawashawishi wengi wajitokeze kugombea ili kuwe na democrasia. Na Mbowe asimamie uchaguz yeye asigombee awaachie wenzake. Akifanya hivyo kwakweli CHADEMA itakuwa imeonesha ukomavu.
 
Hana sababu yoyote. Kazi yake kubwa na ya kutukuka tumeiona, na Sasa ni zamu ya sura mpya kuonekana pale juu.

Mbowe bado ataendelea kuheshimiwa ndani ya chadema na ushauri wake utapokelewa.
 
Ramli, Mbowe ana mafanikio gani? Maana sasa hivi chaguzi zinaporwa wazi wazi na hakuna lolote anafanya.
Kusema Mbowe ana mafanikio gani wakati unafahamu fika vyama vyote vilivyowahi kuwa na mafanikio km chadema mf. Kuwa na idadi ya wabunge wengi wa kuchaguliwa..CUF, NCCR hata UDP vimebaki majina tu..lkn Chadema bado ipo..hayo ni mafanikio makubwa km unafahamu siasa za Tanzania..
Niseme kitu kimoja..hamsemi sifa gani zinafanya Lisu aaminiwe kuongoza chama..Lisu amedhulumiwa stahiki zake za ubunge, hadi Leo hajalipwa..hili ni jambo binafsi, pamoja na kuwa lawyer kitu gani kinafanya asidai stahiki zake km yeye ni jasiri..! Waliojaribu kuondoa uhai wake hadi Leo hakuna uchunguzi umefanyika..nini kinamzuia Lissu kupigania haki zake..na nyinyi mnaomsapoti mbona hatusikii mkisema mko nae kumsaidia apate haki zake? Anashindwa kutetea haki zake mwenyewe, hizo za chama ataweza? Wanaoshikilia haki zake ni wale wale wananyima haki za kufanya siasa kwa uhuru..kipi kinafanya aaminiwe kuongoza chama..!
 
Ma ccm hayataki hivyo, siasa hizo Mbowe amezifanya kwa miaka kibao hazijakisaidia chama hata kdg...kwasasa anatakiwa mtu radical...Lissu is the man!!!.
..siasa za kuwa radical Mtikila alifanikiwa? Mbona hata yeye Lisu ameshindwa kudai stahiki zake za ubunge pamoja na kuwa radical? na nyinyi mbona hamsemi kutaka wadhalimu wamlipe stahiki zake..kipi borà kwake apate stahiki ya jasho lake au kupigania haki za wengine halafu uishi kwa michango..mbona mmeshindwa kumshauri arudishe familia yake hapa nchini, kwenu ni sawa Lissu kuwa hapa peke yake akifanya kazi wakati familia yake iko mbali uhamishoni? Mambo ya uongozi yanahitaji sana sapoti ya familia yako, yeye ni binadamu anahitaji faraja na kutiwa moyo na watu wa karibu naye..wako wapi? Mnaelewa kweli mazingira yanayomzunguka Lisu au vile tu hoja ni Mbowe amekuwa mwenyekiti muda mrefu..!
 
Mahitaji ya wakati kwa sasa ili upinzani uendelee kuwepo Tanzania unataka kiongozi mwenye sifa alizo nazo Mbowe..kuwa kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania ni gharama kubwa, Lissu hawezi kubeba hiyo gharama hana energy za kufanya hivyo..hana!
 
Back
Top Bottom