mkaskaz
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 606
- 865
Huyu Emmy ni mara ya tatu sasa anataka kuja kwangu. Tulizoeana miaka mi3 hivi nyuma. Kipindi hicho maringo kama yote kunitolea nje. Leo hii anaforce kuja, kuna nini?
Nimempiga chenga wee mpaka nikaona isiwe tabu. Acha nimchane ukwee
Nimempiga chenga wee mpaka nikaona isiwe tabu. Acha nimchane ukwee